mountain climber
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 311
- 461
Kuna hii mentality kuwa wachaga ni wabahili Huwa bado hainiingii akili kabisa..labda mseme huo ubahili upo angle ipiUko sahihi sana Ndugu Yangu.
Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.
wanachuana na Muhindi kwa Ubahiri.