Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

Kwani si ni hawa wasanii??
 
Angalau Dr Kimei, at least tunaweza kusema amefanya kitu kwenye masuala ya Fedha
 
Unasema majobless Tanzania kwani wapi duniani kila mtu ana kazi?

Bora Tanzania tunaona miradi ya maana kama BBT inayozalisha ajira kila siku
 
Mabeberu na mafisadi hapa nyumbani ndio wanaocontrol media .

Wameshapewa fursa waliyokuwa wananyimwa Sasa hivi wanasifia tu.

Jifunze kutumia akili mdogo wangu.
Hadi Business Insider Africa? Hadi majarida maarufu ya media maarufu za nje?
 
Kwani issue ni vichwa ili uchumi ukue? au uaminifu + vichwa + watu kwa ujumla wazalishe, sera bora na endelevu za kukuza uchumi, so far mikakati mikubwa ya kukuza uchumi nimeona kwenye Kilimo, sijui Tanzania ya viwanda imeishia wapi? Kila Rais akija anakuja na priority zake, sera kuu ya Taifa inahitajika, mfano JPM alikuja na sera yake ya viwanda, na kila Rais anayekuja ingefaa aendeleze pale alipoacha kuhusu viwanda na mipango mingine mtangulizi wake alipoishia.
 
Angalau Dr Kimei, at least tunaweza kusema amefanya kitu kwenye masuala ya Fedha
Kumfananisha Kimei na hao vijana wa hovyo ni kumkosea heshima.

Kimei ana maandishi ya Banking on what was wrong on management control wakati bank zinamilikiwa na serikali 100% ukibahatika kuisoma hiyo paper unaona kwanini kulikuwa na haja ya kubinafsisha hizo bank, hata bila ya kuambiwa na donors.

Kimei akiongelea banking seriously kwenye interview zake kabla ya ubunge anaweza justify msingi wa financial products zao na riba zake, anaweza elezea performances za portofolio kadhaa za CRDB kwanini zilifanikiwa or failed with economic justification.

Kimei kaikuta CRDB ina book value isiyozidi tsh 20 billion, kaicha ina asset value ya over trillions; kwa kazi hiyo tu ingekuwa nchi zilizoendelea mshahara wa Kimei ungekuwa over tsh 2 billion kwa mwaka and justifiable.

Yaani Kimei uwezi mfananisha na hao watu ata robo at his peak (sema nae sijui anazeeka ameanza kuongea pumba kidogo toka aingie kwenye siasa, siyo kama yule Kimei wa CRDB).

Hao vijana hawana kitu cha kuonyesha zaidi ya porojo tu na wapambe wa kusifia but non to measure on performance wise.
 
Unafahamu Gharama iliyolipwa na wafanyakazi? Unajua kucheza cheza kwao na mifuko ya pnsheni wafanyakazi sasa hivi wanalipwa 33% badala ya 50% kwa mkupuo wanapostaafu??
Alipokuwepo nssf tuliona miradi mingi na shirika lilikuwa vizuri kiukwasi. Ametoka kuna nini cha maana nssf?
 
"Hali ya uchumi inakwenda vizuri Sana"

Baada ya mama kusema anapitia jamiiforums,Kuna nyuzi ukiziona tu unajua mwandishi anataka kusikia simu ya teuzi.

Yani mwigulu Leo amekuwa wa waziri Bora wa fedha kweli?

Sawa mama atauona huu uzi na ata-like.
Bora enzi za mustafa mkulo
 
Hadi Business Insider Africa? Hadi majarida maarufu ya media maarufu za nje?
Yaani unajiandikia tu kufurahisha genge.

Unaweza tumia magazeti kama kipimo cha ukuaji wa uchumi??

Elimu Yako bado haijakusaidia.
 
Hadi Business Insider Africa? Hadi majarida maarufu ya media maarufu za nje?
Yaani unajiandikia tu kufurahisha genge.

Unaweza tumia magazeti kama kipimo cha ukuaji wa uchumi??

Elimu Yako bado haijakusaidia.
 
Hakuna kitu hapo,ingewezekana kama Siasa zisingeingilia utaharamu,
Nchi hii,uchumi unahudumia Siasa,badala ya Siasa kuhudumia uchumi,nchi hii wenye akili,hawapendwi,majizi,mazuzu,ndio yanafsnya maamuzi,
 
Tanzania ni Nchi ambayo hatuwezi kuwa na viwanda vya magari kwa sababu hiyo kodi kubwa wanayopata kwenye magari hasawezi kuipata kwenye kutengeneza magari na pia wanaona ajira kwa vijana sio muhimu kwenye viwanda muhimu ni hiyo kodi..hata umeme utasikia tutauza Nchi za Nje na si kusema kuwa tutakua na umeme wa uhakika kwa Wananchi wetu hapo hata akae nani kwa hiyo Wizara labda wabadilishe hizo fikra zao kwanza ndio tutapata maendeleo...
 
Wengi hao hapo ni comfort zone yao, maana walikuwa kule kwenye mabenki sehemu ya kupasha kichwa sasa mserereko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…