Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

Sipati picha kama Mo angekua mpigaji kama Home shoping au kudhulumu nyumba za watu,kupiga danadana tu kachambwa kiasi hiki!
 
Mkuu ukitaka kuchunguza alacho kuku hutomla tena. Ukisimuliwa historia ya GSM hutopenda awe mdhamini tena wa gongowazi fc.Taswira utakayopata ni kwamba huyu jamaa kaja pale uzuzuni kukamua mi hela ya jezi tu .
Hapo sawa
 
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana

Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.

Tukija kwa tajiri yetu MO dewji.
yeye kwanza alikuwa kavaa kinjuga halafu kachomekea na kavaa miwani pia yupo peku,
kingine alipiga danadana utadhani anataka kupiga faulo,
Halafu kakaza mguu kama ubao wa draft.

huyu kweli mpira amevamia tu sasa nimeanza kuamini maana zile danadana alipiga tano tu tena kwa kubahatisha halafu akashindilia mpira kwa kichwa utosini sijui kisogoni hiyo..!

Mo dewji soka halimfai kabisa.. Mimi sio mamluki ni simba damu nimeona niseme ukweli..

Cc Ghazwat
Acha unazi Bana, we uliona wapi danadana zinapigwa kwa kurukaruka Kama unacheza singeli?
 
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana

Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.

Tukija kwa tajiri yetu MO dewji.
yeye kwanza alikuwa kavaa kinjuga halafu kachomekea na kavaa miwani pia yupo peku,
kingine alipiga danadana utadhani anataka kupiga faulo,
Halafu kakaza mguu kama ubao wa draft.

huyu kweli mpira amevamia tu sasa nimeanza kuamini maana zile danadana alipiga tano tu tena kwa kubahatisha halafu akashindilia mpira kwa kichwa utosini sijui kisogoni hiyo..!

Mo dewji soka halimfai kabisa.. Mimi sio mamluki ni simba damu nimeona niseme ukweli..

Cc Ghazwat
una umri gani?
 
Back
Top Bottom