Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Muwekezaji sio lazima afanye kwa ustadi bali anaajiri wenye kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukitaka kuchunguza alacho kuku hutomla tena. Ukisimuliwa historia ya GSM hutopenda awe mdhamini tena wa gongowazi fc.Taswira utakayopata ni kwamba huyu jamaa kaja pale uzuzuni kukamua mi hela ya jezi tu .Naomba HISTORIA za hawa watu/familia mbili kwenye historia ya mpira hapa Tz
Wcha waendelee kulala, wao wanadhani Abromovich wa Chelsea ni Super Megician Left Footer..!Muwekezaji sio lazima afanye kwa ustadi bali anaajiri wenye kujua
Hapo sawaMkuu ukitaka kuchunguza alacho kuku hutomla tena. Ukisimuliwa historia ya GSM hutopenda awe mdhamini tena wa gongowazi fc.Taswira utakayopata ni kwamba huyu jamaa kaja pale uzuzuni kukamua mi hela ya jezi tu .
Watu wana nongwa balaaSipati picha kama Mo angekua mpigaji kama Home shoping au kudhulumu nyumba za watu,kupiga danadana tu kachambwa kiasi hiki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1316]Unataka team GSM wautoroke uzi?
Acha unazi Bana, we uliona wapi danadana zinapigwa kwa kurukaruka Kama unacheza singeli?Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.
Tukija kwa tajiri yetu MO dewji.
yeye kwanza alikuwa kavaa kinjuga halafu kachomekea na kavaa miwani pia yupo peku,
kingine alipiga danadana utadhani anataka kupiga faulo,
Halafu kakaza mguu kama ubao wa draft.
huyu kweli mpira amevamia tu sasa nimeanza kuamini maana zile danadana alipiga tano tu tena kwa kubahatisha halafu akashindilia mpira kwa kichwa utosini sijui kisogoni hiyo..!
Mo dewji soka halimfai kabisa.. Mimi sio mamluki ni simba damu nimeona niseme ukweli..
Cc Ghazwat
Mbona kama mr.bin huyuHuyu ni MO dewji.
View attachment 2157310
una umri gani?Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.
Tukija kwa tajiri yetu MO dewji.
yeye kwanza alikuwa kavaa kinjuga halafu kachomekea na kavaa miwani pia yupo peku,
kingine alipiga danadana utadhani anataka kupiga faulo,
Halafu kakaza mguu kama ubao wa draft.
huyu kweli mpira amevamia tu sasa nimeanza kuamini maana zile danadana alipiga tano tu tena kwa kubahatisha halafu akashindilia mpira kwa kichwa utosini sijui kisogoni hiyo..!
Mo dewji soka halimfai kabisa.. Mimi sio mamluki ni simba damu nimeona niseme ukweli..
Cc Ghazwat
Boja.Dana Dana za Mo zimenifurahisha sana