Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Nachukia sana watu kujisavia kabla ya ndoa alafu mnaachana! Sasa nani hayo makombo anayataka? Yani umechezewa kila sehemu alafu unaachana ili uende kwa nani sasa??? Basi tu jf hatufahamiani but namind sanaaa huu upuuzi.😬😬😬😬
 
Daah kama unayosema kweli nasikitika sana!
Ohooo usisikilize maoni ya kila mdau jf, humu Kila mtu ni mtoa huduma za Afya, usije ukawa mshatumia mara kadhaa na mpenzi wako sasa uanze kufklia kumkimbia kisa kuna mtu kaandika kitu alichokiona Facebook huko
 
Usimpelekee hio niaje kama unae denja dayz! Kaa kwa pattern hadi huo muda uishe...simple kama hivyo yani atuachanagi kwa ishu ka hizo
 
Mwanaume ambae hawezi tumia kinga, nguvu zake za kiume ni za kusuasua. Achana nae asikuharibie maisha.mimi dada yako na umri huu sijawahi tumia mpango wowote wa uzazi najiamini, mwanaume ambae hawezi tumia kinga huyo aondoke tu.

Huyo mwanaume atakufanya single mother muda sio mrefu. Stuka tofauti na hapo akuoe uwe huru.
 
Kama hutaki mtoto njoo kwangu tutaendana vizuri
 
Achana naye hakupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…