Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Ukimuendekeza mwanaume utakuwa singo mother wa kujitakia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yaani toka nikujue leo ndio umeongea pointi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Zinaaaa tu.
Hujaolewa unavua chupi kwa lipi?
HATUKUPI USHAURI
 
Ukimuendekeza mwanaume utakuwa singo mother wa kujitakia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yaani toka nikujue leo ndio umeongea pointi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
My Love yaan toka unijue nilikua naongea ujinga tupu

Mama umejua kunichamba ,mbele za watu??

Siungesubiri tukiwa ndani, yaan mbele za watu ivi unaninanga .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
My Love yaan toka unijue nilikua naongea ujinga tupu

Mama umejua kunichamba ,mbele za watu??

Siungesubiri tukiwa ndani, yaan mbele za watu ivi unaninanga .[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pumba si huwa unaongea mbele ya watu pia[emoji28][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hizo pumba si huwa unaongea mbele ya watu pia[emoji28][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kuniambia, jamaan lkn mume/mke ,akiharibu mbele za watu, wewe msimamie , Mkirudi ndani ndo umwambie... Oyaaaaa pale ulizengua

Sasa wewe unamwaga na mboga kabisa !!!
 
Sina Moyo mbaya kiasi hiko .. Wema wako tu ,unatosha .

Infact wewe una guarantee ya msamaha kwa miaka 70 ijayo.

Ni wewe tu kunikosea . Ila vyovyote iwavyo, nilishakusamehe .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh ngoja basi nikazane kukukosea la sivyo yatakuwa matumizi mabaya ya msamaha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…