Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

Salute kaka skupingiii hauko peke yako 2po wengii japo mpk now bado nipo home ila mzee anaznguw kinom[emoji114]
 
Binafsi mimi Nina matatizo ya kusikia ni shida sana
Mim sikulelewa na mama , na Wala mama yangu hakuwahi kuwa karibu na mm yani hata nikiomba kitu sipew na mama alinitekeleza huko kwa baba , baba alikuwa ameshaoa tuliishi vizur tu japo sikuwa karibu sana na mzee japo nilikuwa nalipiwa ada za shule Ila niliwapenda wadogo zangu shida ilianza 2014 nimemaliza form four mzee Katengana na mama wa kambo alikuwa anadai mchawi na sis watoto ni wachawi had shule alikuwa anaenda kututangaza imagine wanafunzi watakavokutenga nilikosa kabsa marafiki na haya masikio ndo balaa sasa akahama home na kwa vile yule mama wakambo alikuwa hatuelewan sana nikaambiwa nihamie kwa shangazi , kwa shangazi Nayo ndo Yale yale naruhusiwa tu kuangalia tv wakat watoto wake wapo 😀 Nalala stoo yani niligeuzwa house gal siruhusiwi kukaa sebleni kama hakuna mtu 😒 Chakula nilie jikoni sio dining namshukuru Mungu nilienda kusoma boarding form five na six nilichaguliwa shule ya wasichana tupu balaa likaanZa 2017 naingia chuo baba aligoma kulipa ada mzee wangu alikuwa na masters sio kwangu tu had watoto wa mama wa kambo Ila namshukuru MUNGU nilimaliza chuo japo Chet sijakufata had Leo nadaiwa chuo Nina wadogo wamekataliwa kabsa kulipiwa ada , wale watoto wanasomeshwa na pango nyumba zilizopangishwa watoto wako watatu wa kiume yuko chuo mwaka wa kwanza mwaka juz alishindwa kwenda chuo sababu ya ada Ana miaka 20 wa pili yuko form six this gal ni genius sana ananiambia dada nataka kuwa doctor baba angenipambania nipate scholarship Ila namuonea huruma tu wa mwisho yuko form one yuko na miaka 13 . I love this kids bas tu sema tu ningekuwa na uwezo Ningewapambania sema na mm masikio yanachanganya sisikii . Baba kapelekana na mkewe mahakamani wanasema watamfikiria wa mwisho tu kumsomesha since hao wawil wanamiaka kumi na nane sio lazma wasome wajitegemee just imagine mtu una masters unaongea utumbo hivo kwa wanao baba alikuwa anawasomesha watoto wa dada zake na kaka zake Leo hii sis hatuna mbele wala nyuma Alafu anakazania et tujikombe kwa ndugu 😒 Dah naumia sana na nasikia sahiz kazaa nje watoto watatu kila mtoto na mama yake so tupo 7 😭 I feel very sad inside me hata elimu haikumsaidia niko kwa rafik yangu nakaa she is very gud friend she is my world at least I can call her my home 🙏🏻 Wadogo zangu tunawasiliana baba nilikata mawasiliano nae 1 yr ago hajawah kunitafuta , anyway kama mtu anakazi yoyote naomba 🙏🏻 Am 26 am a gal thankyu.

Am sorry for a long message .
 
Pole sana, yani hawa wazazi ni mtihani sana
 

Hii situation ipo sana.
 

Hakuna laana ya kutokumtunza mzazi ambae hakukujali mzee so alitegemea we utoboe vip ili umtunze utoe jicho ama? Uwe jambaz? Na ukifa kwa ujambaz ama ukimwi apate na sababu ya kukupondea zaid mimi binafsi namtunza kama yeye aliyo fanya siumiz kichwa zaid na watu kama mashangaz ndo kabisa wapo kushoto RIp Momy [emoji22]
 
Daaah
 
Mkuu assnte nimepitia na naendelea kupitia mengi sana Mm na dingi haziivi kabisa kwa muda mrefu sana Imagine Nina approach 50 yrs baba bado ananitukana ananikejeli ananidharau na hapo Nina mtunza ninasaidia madogo WOTE mi BDO mkubwa Nimejitoa Sina MAWASILIANO Naye inanisaidia kuondoka keto tutakutana Akhera kwa hapa duniani naona imeshindikana
 

Why is warning in English, and andiko in swahili?
 
Tupo wengi haki Mm na dingi mbali mbali Toka sekondsri na kwa bahati mm ndo niliyesoma na Hadi chuo kikuu na mwenye Hela ya mboga na mkubwa Wa famili yaaani Mzee ni mwendo wa kunitukana haya inaniuma sana baba aniambia na Hela zako we ni umbwa TU akiwa nanshida inabidi amtume Maza mi natoaga TU ila ndo tushafika.... Sitaki tena suluhu nimewaambia nam kwangu ni mwanaume Kuna siku kanitukana mbele ya wife
 
Halafu sijui kwann watu wa namna hii wanakuwa walalamishi baadae as if hawajui walichofanya. Hapo anataka umbwatukie tu ili aje kukulaumu na kulazimisha kupeana laana na mikosi wakati sio lazima.
Juzinilibakinkidgo nimtukane Mzee Ila nimepanga nitamwambia yaaaninkiko kwangu na maisha yanaenda dingi ananitukana mm ni sawa na mbwa Nililia sana Nina hasira Naye kazoea sana miaka zaidia ya 20 inatosha
 
Inakuaje mzee wako anakuchukia bila sababu??
 
Juzinilibakinkidgo nimtukane Mzee Ila nimepanga nitamwambia yaaaninkiko kwangu na maisha yanaenda dingi ananitukana mm ni sawa na mbwa Nililia sana Nina hasira Naye kazoea sana miaka zaidia ya 20 inatosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole mkuu
 
Daah pole sana mkuu kama upo 40s na anakutukana huyu baba atakua ana mapepo. Mimi ningekata mawasiliano nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…