Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma
Mimi siwez kuoa mwanamke aliezalishwa na mtu mwngine

Ila mkiwa mnawat*ba huwa mnawambia na haya maneno ? Unaomba gemu mtoto wa watu anakupa mauno mpaka unamwaga ndani ila baadae mnashindwana. Sasa baada ya hapo inakuwa unamtoto nje..! Mnakuja huku mmejificha uhalisia mnaanza kuwatupia mawe hao hao waliokuwa wanawakatikia…SMH
 
Yataka moyo haswaa kuanza kulea na kusumbuana na bao la mwanaume mwenzio,

Isitoshe unakuta mitoto mingine imerithi utata kwa baba mbona Kila siku songombingo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti songombingo
 
We unaonekana umepata singo maza Sasa unajifariji subiri yakukute utautoa ushuhuda wewe mwenyewe hata kama siyo hapa JF utaenda kuwa shuhuda kwa wengne huko mtaani
 
Nimesoma comments zote lakini hii ni super. Tatizo la vijana wengi wanamawazo hasi kuhusu single mothers.
 
Mi nadhani kikubwa katika mahusiano Ni upendo na mapenzi ya dhati, Kama umempenda hata Kama amezaa nawe muoe zaa nae maisha yaendelee! Kwanza sijui Kama Kuna kijana mwenye masimamo ikiwa analelewa na mwanamke mtu mzima Kama kiben ten halafu huyo huyo atoe kauli ya kutooa mwanamke aliezaa,, maisha yanaitaji akili kubwa hayaitaji story nyingi za vijiweni,, tafakari kuoa mwanamke bikira halafu ndani dharau kiburi na kero ndani ya nyumba na msidumu ndoani au kuoa mzoefu aliezaa na mkaishi kwa upendo na amani Bora nini
 
Kuna dada wa kinyamwezi anamtoto lakin. Baba wa mtoto kamkataa hvo anapambana mwenyewe. Ni mzuri sana. Mguu safii, mtoto mrefu kidogo afu sura nzuri ya upole afu ngoz laini. Basi mdada katika kutafuta kazi akapata kucmamia biashara za tajiri moja hapa mjini. Kumbe jamaa kampa kaz kwa lengo la kumtaka kimapenzi. Cku jamaa akamfungukia anataka kulala nae na akamuahidi ahadi nyingi sana. Yule dada akamzingua na kumwambia hawezi fanya ujinga huo kisha akaondoka na kuacha kazi. Yule dada kama unamtongoza jipange. Lakini sasa hv kashaolewa na jamaa flan ambaye huyo jamaa hana mtoto. Hvo basi anamlea mtoto aliyemkuta kama wake na wanaisha kwa furaha sana. Binti anajiheshimu na mstarabu sana. NOTE sio kila single mothers ni vivuruge, wapo wanaojiheshimu
 
We unaonekana umepata singo maza Sasa unajifariji subiri yakukute utautoa ushuhuda wewe mwenyewe hata kama siyo hapa JF utaenda kuwa shuhuda kwa wengne huko mtaani

Hapana Mkuu, niliyenaye hana mtoto ila ikitokea huyu akazingua nitahamia kwa single mother.
 
Bwana FUSO endelea kua gari la kuwabeba hao mizigo siku ingine yako ikinoki utajuta nakwambia single mom hawanaga shukrani na hivyo vitoto vyao vikikua usitarajie Kama vitakujali kamwe kwanza vinaanzaga kuweka status vikifika chuo "niliteseka Sana kuishi na baba wa kambo thanks my mom kwa kunilea na kunipa mahitaji yote"

Utajuta kujifanya Mtanzania mwema!
😂😂😂😁😁
 
Dada yangu ni single mother hali ni tete imebidi kaka zake tugawane watoto wake. Mmoja nimemchukua mimi namsomesha ni kichwa kweli kweli darasani anawakimbiza kisawasawa. Kwa upande wa elimu bila shaka atafika mbali sana. Mungu amsaidie.
Dogo amekua baraka sana kwangu tokea nimeanza kumuhudumia mambo yangu yananiendea vizuri sana. Baba yake yupo anapiga masanga tu na siku akijichanganya eti anamtaka mtoto nitamlima vichwa vya maana.
 

Bora huyo anayekupa amani mkuu.! Mimi nitaoa single mothers maana my previous relationship asee na Binti mmoja hajazaa anapenda kupigwa mashine ila ikishika mimba tu anataka atoe..! Nawathamini sana dada zetu na mama zetu walio amua kutulea na Baba zetu walioamua kutuhudumia.
I choose PEACE over Beauty.
 
Yan unashaur watu wazid kuzini ,hujui kuoa mwanamke aliyeachwa ni uzinifu ,tena ana kizibiti kabisa cha mtoto ,bora umkute empty unaweza ukawa na pa kutokea,usidanganywe aliyezaa naye bado kamweka moyoni haijalishi kamweka kwa ubaya au kwa uzuri,usioe mwanamke mwenye mtu ndani ya moyo itakusumbua basdaye
 
Hayo mambo ya kuanza mpira wakati ushafungwa haipo mkuu. Umeoa leo tu siku mbili mbele unaanza majukumu ya kulea mama na mtoto wake.
Bora niwe single daima kuliko kuoa single mother.
 
Yan mechi inaanza huku ubao ukisoma goli moja tena la ugenini???? 😀😀😀
Bro haiitaji kulipa fadhila au ku pay back kama ulivyosema.........
Hapo upendo uliozid mipaka ndio unaweza kukusaidia kama alivyosema international step dad huko juu
 
Unahamasisha tuoe single mothers kwa kuwaonea Huruma??
Mapenzi matters kama umempenda na umeona mnaweza itengeneza future yenu that's all mnaanza maisha tu
 
Umlime vichwa kwan unadhan baba wa mtoto Ni Nani? Atamtaka na atamchukua na hakn kitu utamfanya
 
Mzee usipagawe na mikuku ukijaziwa kwenye bakuli na single mother. Shida urithi kwenye familia. Mijengo yangu mitatu yote isimamiwe na single mother akiwa na mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mjinga mmoja mtaani. Aisee hii hapna. Ile miradi ya ukoo na hiko kitoto cha concubine nacho tukiweke. Hapana Aisee. Kama huna ndoto za utajiri oa tu single mother uishie kupetiwa petiwa ili kukusahaulisha kitoto chake kiishi
 
Siwezi amini kitu kama hiki Mkuu, anakulazimisha kivipi yaani ?? Kwa nini akulazimishe labda ? Kutakuwa na tatizo mahali huko nyuma wakati mnaanza kufahamiana
Singo mama nimemsogeza tuishi,ila nilmkuta mwanae anasoma shule hzo kwahyo gharama automaticaly lazma ziamie kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…