Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Ukitokea msiba ukweni unashindwa hata kua karibu na mkeo. Utasikia mzazi mwenzie yule amekuja. Uchebe linakuja kumpa pole mkewako. Kiufupi kaolewe ulipobeba mimba

Mkuu nakuona unaandika kwa makasiriko sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Punguza hasira Mkuu
 
Kwani niwaulize swali kwani ndoa nyingi zinavunjika sana nenda mahakamani ko wote walioa single mother au wan awake wa kizazi hiki ni mtiahani kama ilivyo wanaume
 
Hiz spana zinazopigwa humu lazima tu uombe poo.😂Guys lets be nice a bit.Tuna watoto wakike remember...n sisters as well
 
Nenda kamuulize mzee Abdul alikubali kulea mimba ya Nasibu na akamlea had akafika umri wa kujiunga na elimu ya secondary lakn Leo hii diamond ana pesa na ameamua kuungana na mama yake kumkataa mzee Abdul mbele ya vyombo vya habari hawakumbiki hata chembe ya wema wake na mtt kaamua kubadili jina anajiita mtoto wa Nyange, wakat maisha yake tangu mama akiwa mjamzito alikaa na kulelewa kwa mzee abdul

Singo maza ni laana na ni nyoka mwenye sumu kali ukiona anaish na ww ujue yupo hapo kwasababu ya hali ngumu ya maisha na siyo mapenzi siku akiwa vizur kiuchumi atakudhalilisha kinoma
 
Kuna mzee mmoja nimewahi kukutana nae aliniambia maneno haya

"Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma mfano umekaa nae kwa kipindi kirefu ila kama kuna vitu umeona havifai na umejitahidi aviache, na vimeshindikana basi hata iwe vipi usioe kwa huruma"

Huyo mzee awekewe ulinzi
 
hahahahahahh safi sana mkuu
 
'wengi' wapo ivyo ,singo maza LAZIMA awe na namba ya mzazi mwenza ( kama yupo hai )

wana maintain mawasiliano ili ' kulea mtoto ' na hapo ndipo utata unapoanzia
Nikwel Nina single mother kaniambia Baba mtoto wake kamtelekeza na mtoto na shangaa namba zake anazo na wanawasiliana
 
Washenzi hawa
 
😂😂😂😂
 
Vitisho
 
"Mwanamke aliye na mtoto na hana mume "

Unamaanisha nini? Huyo mtoto kampataje? Labda kama mume wake awe ameshafariki na hapo tunaongelea mama mtu mzima kabisa.

Kiufupi tu mkuu huyo mwanamke halali yake ni huyo aliyemjaza mimba.
 
Wewe umeoa singo maza?

Tuanzie hapo kwanza
Hiyo ni kweli mkuu niko na dem wa hivyo ana sponsor aliyemzalisha mume wa mtu zamani naona amemuonea huruma amempeka chuo cha ususi na anajua hawezi kumuoa tena. Ananiambia mimi nimuoe huyo mzee walishaachana nae siku nyingi amenamsomesha tu na kumlipia fees mbalimbali
 
Kwahiyo wewe kipimo cahko cha mwanamke bora ni kuwa Single Mother? Hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…