Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hapana mkuu nimekutana nayo zaidi ya mara mbili wadada wanawaletea dharau wanaume wanaotaka kua nao seriously kisa tu anakibwana kina kagari halafu mume wa mtu mwisho anapigwa mimba anakua single maza baadae anaanza tafuta huruma mara oooh Kama unanipenda Mimi mpende na mwananguHili la mume wa mtu mkuu umelikazania kinoma noma, uliwahi achwa ama vipi ? [emoji23][emoji23]
Na kadri muda unavyozidi kwenda inakuwa ni Jambo la kawaida mabinti kuzalishwa wakiwa home ..ila Wana stress sana hawa viumbe..na wanataka kulazimisha uingie kwenye majukumu ya ubaba haraka haraka bila kukaa chini na kudiscuss mtalea vipi..na baba mtoto mko nae vipi..ukioa single mother ujue umeoa mke wa mtuMtaoa tu lakini sababu mpaka kufikia 2030 hamna demu ambaye atakuwa hana mtoto kabla ya kuanza chuo kikuu
Anakuwaje Chuma chakavu nakati siruhusiwi kumuoa yeye ni chuma chakavu kwa anaye ruhusiwa kuoa.Mzee wako naye ana akili za hovyo tu, kwahiyo dada ako akipigwa miti akabeba mimba na kujifungua ni Chuma chakavu. Tras
Sasa hao anaweza kuwaoa au wewe unaoa Dada zako na shangazi zako ??Dada ako pale nyumbani ni nuksi au yule mama ako mdogo ni nuksi au Shangazi yako yule wa kule Naye ni nuksi ??
Think twice brother
Mkuu unakula dadaaako na mamazako nini suala linahusu kuwa na mapenzi na Single Mother wewe unaleta mifano ya dada na mama kuna uhusiano hapo....kwa akili yako mamayako kama alitembea nje ya ndoa basi ni sio kosa kwa mpenzi wako kuChet nje ya ndoa.Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
[emoji23] hisia zaidi.Hili la mume wa mtu mkuu umelikazania kinoma noma, uliwahi achwa ama vipi ? [emoji23][emoji23]
[emoji23] pole bana, lakini single mother wengine walibakwa, wengine waliachwa tu kwasababu ambazo ni tofauti na hizo. Wengine kweli jeuri (hawa wengi ni pis za ukweli kama Kajala) lakini wapo wenye tabia zao nzuri kabisa.hakuna Cha wanaume wachache Wala Nini hivi unawajua walivyo viburi na jeuri wadada kama hao wengi hua wanakua na tamaa ya vitu vya kupita hata pindi wakiwa wabichi hata akitokea mtu serious anataka kumuoa na ana Nia ya dhati atamtolea nje kisa tu kuna mume wa mtu ana chochote kitu hawatabirikagi hao unaowatetea!
Haswa mkuu na kampeni ianze rasmi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] PIVIKUSIMO
Sawa advocate wa single mothers ila bado nasema kama unataka kusaidia nenda kwenye vituo vya yatima kuna watoto wengi sana ambao hawana wazazi wala malezi mazuri.Half way to Misogynistic comment
Napigilia msumari hapa [emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Yosefu alipoona Mariam ana mimba alitaka kumwacha kwa Siri mpka malaika akaingilia Kati kumtetea , unafki yosefu alikosea ? Single mom hatakiwi kuolewa kabsa Ni chukizo kwa Mungu
Mkuu sidhani kama watu wengi wanawachukia hao single mothers, mbona kuna shuhuda mbali mbali huku jf watu wanatoa kua wanakuanao kwenye mahusiano.Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
Wala hayajawahi kunikuta maana mimi sio muumini wa single mother kabisa.Mkuu umeongea kama yashawahi kukukuta, ila kwenye ndoa mambo hayana formula, zipo baadhi ya ndoa na nazifahamu siwezi jua kiundani ila nawaona wako vizuri na ni watu wazima.
Hata kwenye hizi ndoa zetu za freshers bado changamoto zipo.
Madam usiwe na hasira vuta pumzi Halafu kunywa na majiHUYO single mother KAJITOMB** mwenyewe??....tatizo mkioa hamji kusema......pumbafuuuuu
jaribu kutambua unaeongea nae kwanza hujatamka lolote... ni ustaarabu tu...hata kwa kuuliza...hili ni jukwaa la wastaarabu...Madam usiwe na hasira vuta pumzi Halafu kunywa na maji
Unapotumia lugha ngumu kwa watu pia na kwako watatumia hiyo hiyo lugha ngumu.. irudie kusoma komenti yakojaribu kutambua unaeongea nae kwanza hujatamka lolote... ni ustaarabu tu...hata kwa kuuliza...hili ni jukwaa la wastaarabu...