Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

Mimi sipo singo kwahiyo hii mada haitihusu mimi na lifetime soul Angel Nylon nampenda mpaka ndotoni
 
Mbona unasema "ninge", si utaje tu wajue kabisa legend..🤣🤣subiri kwanza kwaresma iishe jambo liwe jambo!🤣🤣
Nishakutaja mbona JF nzima inajua,,halafu iyo kwaresma tangu tuwekeane hiyo miadi naona inakimbia Kwa Kasi ya 5G,kweli usiku wa deni haukawii kucha🙆🙆😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…