Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Nna siri nyingi hata nafsi yangu siwezi kuiambia.......

ngoja niwape siri sijui ndio mkasa.....

nina classmate wangu wa ps enzi hzo 2000's, tumeshibana sana since then! yeye baada ya kuhitim std 7 akaamua kuingia kitaa kupambana , mm nikaendelea na shule....Mungu si athuman mbishe za mchiz zilienda powa sana na hustlin za kutosha hatimae mdogo mdogo akatusua...... nikiri hata nikiwa chuo jamaa amenisapoti sana pocket money....

regardless profile zetu kielimu na kimafanikio bado tunaheshimiana sana na kusapotiana thou wote kwa sasA tuna maisha yetu japo mchiz kanizidi hatua kadhaa......

ee bhana huwa nikienda mkoa anaoishi nashukia kwake fresh....na nikiwa na mizunguko yangu huwa nachukua ndiga yake kiroho safi.....iko hivi wote hatujaoa , sa kuna siku nimeenda kwake.....ile tumeamka mchiz anarekebisha chai jikon mm nipo nafanya usafi na kupanga nguo.... ile vooop nikakutana na mguu wa mtoto(bastola) kwenye droo ya kabati...kumbuka funguo zilikuwa pale.....nilishtuka sana nikaendelea na yangu, mpaka leo sijawahi kumwambia mchizi ! mchiz ana biashara kadhaa na ni mtafutaji haswa sasa ule mguu wa mtoto sikujua lengo la kuumiliki, na hana mali nyingi kiasi cha kuhofia usalama mpaka kumiliki bastola........ still tuna mingo na kupeana michongo ila niko nae makini sana! unaambiwa kila mafanikio ya mtu kuna jambo nyuma ya pazia !
 
Huyo hatari anakaba
 
Acha mbwembwe,lete siri
 
Sikiliza nyimbo ya Lucky dube The way it is
 
Enzi gani sasa mkuu?
 
Baba alikuwa anamla bosi fulani hivi wa kike kule Nairobi,alinitoa sana mapene ninyamaze mpaka leo nimekuwa mtu mzima 100% mama hajawahi kujua na mpaka leo namuitaga shangazi.
Hongera pia umsaidie atakapo polekwa motoni.
 
Sawa tunakutafuta
 
Hayo mashart khaaa,hatukupi likes kama hutaki acha,baki na story yako ikusisimue
 
Kuna moja hilo, sidhani kama nitakuja kumwambia mtu. I'll go down with it, ila nimeshatubu kwa mola.
 
Poa wadau, mawazo yenu ni mazuri ila mjue uzaifu wa mtu ni yeye mwenyewe, jifunzeni kujua na kutambua mazaifu yenu, hatufanani kimatendo guys
 
Mimi nikitoa siri uwa naamwambia mtu mapema kabisa "ukisema mimi nakuruka

Usije ukajidanganya ukanambia mimi SIRI,halaf nyinyi wakuniruka huwa nawapenda mno,yaani hapo sijui tutakusutaje tu,
Yalishanikuta hayo,jamaa akaniruka maili mia8[emoji3]lkn kutokana na maelezo yalivyo jamaa aliishia kutoa machozi tu na hasira kemkem[emoji3]
 
Jamani hizi habari Za siri matatizo, mana mimi mwenzio nina siri nzito nikisema tu mnanitenga wote, hivyo ngoja niufinye
 
yesu wangu am dead!!!! nimekula sana chips za mazengo dah!
 
yesu wangu am dead!!!! nimekula sana chips za mazengo dah!
hahahaah, kumbe unamfahamu. Kipindi hicho alikuwa anapikiwa opposite na Hoteli yetu ya Embassy!!!.
Yaani ni balaa. Nilivyoona hivyo nilifanya sioni maana nilihisi angenidhuru. NIkarudi zangu hosteli kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…