Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Dahh hakika kuna watu usiwaambie siri kuna jamaa mmoja anaitwa uncle mecky huyu bwana huwa anajulikana kwa Umbea viunga vya dar kuna siku alimkuta jamaa mmoja anatembea na mke wa Jirani yake, jamaa alivoona vile akamvuta uncle mecky pembeni na kumpa million 1 ili atunze siri, basi uncle mecky akamhakikishia jamaa hatasema.

Baada ya week jamaa akasikia uncle mecky anaumwa sana kalazwa hospital akaona akamuangalie basi vile anafika hospital anauliza kwa Dr mgonjwa anaumwa nini akajibiwa ana joto tu Kali lkn kapimwa hana maradhi yyt. Mecky akamuita jamaa ebwana eeeh chukua hii million yako utakuja kuniua maaana nimevumilia huu Umbea nimeshindwa mpk joto limepanda mwilini
 
siwezi kuja kusema tukio moja lilitokeaga _____ tareh 21 mwezi 5 mwaka 200_ na kusababisha kifo cha _____ aliyekuwa maharufu sana jijini ____

jiji lilizima baada ya taarifa za kifo cha _____ kusambaa huku ikisemekana ni majambazi ndio wamemuuwa na hawakuiba chochote

huku polisi wakisema ni tukio la ujambazi yaani hit and run kumbe hata wao hawajui ukweli


ukweli wa lile tukio ni kwamba vijana wa_____ ndio walihusika na mimi kipindi hicho nilikuwa nakaa pale_____ i used to call em bro's/uncles nao wakiniita _____ jr au dogo

walijiamini nini sijui kuongea mbele yangu nahisi ni sababu waliona ni kijana wa ____ mwenzao so siwezi kuwa a threat au one day nitawajoin Katika_____

nilikuja kugundua ilikuwa ni _____ task na ngoja iendelee kuwa hivyohivyo cha muhimu uhai tu
 
Hahaaaaaa
 
Twambie bana
 
umesema ni siri, sasa tukizitoa hazitakuwa siri tena; ni lazima tuendelee kuzitunza.
 
Aiseee balaa hilooo
 
Heri kuuza Figo kuliko kutatuliwa aisee,hata kubeba zege au machinga alishindwa kauza bikira kwa laki NNE unusu hata mwezi ufiki,
 
Hukula mzigo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mshakaji kweli au lugha ya fasihi imetumika [emoji23][emoji23]

just jockin ukata ni mbaya asee ukute jama now mambo yamekaa fresh anabak kujutia
Hii inshu hata mi iliwahi nikuta nilionana na rafiki wa muda mrefu akanipa simu yake bahati mbaya ilikuwa hajayoka wasap nadhani alisahau ,nikasema ngoja niangalie chart moja anachart na mzungu weweeee nilitetemeka nilisikitikaa,yule mzungu anamuuliza huyu rafiki wangu wa kiume kuwa anapenda size ipi ya ub..anapenda style gani ,nikawaza kumbe watu wanaliwa halaf sasa alikuwa akiona mademu anavyowataka sasa mara niunganishie huyu ,na ni kijana mdogo kweli,nikasema simu hizi zina siri kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…