Mkuu aliyefikwa na mauti akiwa Mwanza mwaka jana ni Dr Othman yule mzenji aliyelowea Tabora. Dr Aziz ni yule msomali ambaye alikuja kufungua ofisi yake pale Alipokuwepo Dr Mhina baada ya Dr Mhina kuhamia Dar.
Kwenye List ya madaktari waliokuwa na dispensary zao ongezea Dr Mhina na Dr Liwa.
Chini ya Mwalimu Omari! Mihayo walikua na kadada hivi miaka Hiyo kwenye netball na Basketball kanaitwa Pewa keupe hivi na mwingine Joyce Masamalo! Unawakumbuka?
Hawa walikua hodari sn kwenye michezo!
Huyo Pewa kama sikosei ni Mjukuu wa Mzee Simbila. Huyu Mzee ni maarufu ktk siasa ndiye mmoja wa waasisi wa NCCR Mageuzi mkoani Tabora
waswezi unawakumbuka? nimesoma uyui na gongoni, uhazili nimecheza basketball, disco la muungano mess nimecheza. makokola je, vipi?
Lukansola Uyui ulisoma miaka gani?
Chini ya Mwalimu Omari! Mihayo walikua na kadada hivi miaka Hiyo kwenye netball na Basketball kanaitwa Pewa keupe hivi na mwingine Joyce Masamalo! Unawakumbuka?
Hawa walikua hodari sn kwenye michezo!
Huyo Pewa kama sikosei ni Mjukuu wa Mzee Simbila. Huyu Mzee ni maarufu ktk siasa ndiye mmoja wa waasisi wa NCCR Mageuzi mkoani Tabora
Mkuu ile mihongo ilikua inaitwa Kapile Au makapile!
Na kwa wale waliosoma Kazima wanamkumbuka Mwalimu Babu Au Peter!
Vp na wale Wa Chipkizi? Mwamkumbuka Mwalimu Kisanji?
haaaahhaah Taradadi yule wa Urambo?alikuwa na kama mwarabu fulani na ana manyoya kama nyani nakumbuka cc tulikuwa tunamwita taradadi manyoya alikuwa na sifa ya kungonga wasichana sana kipindi cha UMITASHUMTA
Aah nimecheka mpa basi. Taradadi alikuwa ni mwalimu wa primary school sikimbuki jina. Lakini pia alikuwa ni kocha wa mchezo wa riadhaa. Pia alikuwa ni mwalimu kwenye magwaride ya chipukizi. Siku hizi naona yamekufa. Ila mara ya mwisho nilimsikia kwenye radio kipindi cha michezo akiongea kama Afisa Utamaduni nadhani ni Manispaa ya Tabora kuhusu maandalizi ya mchezo wa riadhaa.
Nani anamkumbuka Yule alie watapeli Wasukuma kwa kuwauzia gorofa la Jamatini? Alikua anaitwa Profesa, anakaa Kule km unakwenda Kiloleni kabla ya kuvuka reli mkono Wa kushoto! Alikua na migarigari ivi pale kwake!
Nahisi Warusi hawapendi kuolewa na waafrica na kuja Kuishi Africa! Yani alikua km kasuswa vile!
Ukikutana nae sokoni Yule mama unamuonea Huruma!
Mkuu we Acha tu! Ile familia ilikua km Ina laana vile!
Ntuzu haaaah hah! Umenikumbusha mbali sana, imebidi nicheke sana.
Huyo jamaa namkumbuka sana hususani yale magari yake. Inaoneka alikuwa tapeli sana mpaka wasukuma wakauziwa msikiti wa wahindi wa Jamatini, na ng'ombe wakaanza kuziswaga kuzipeleka pale!!
Sina kumbukumbu vizuri sana za jina lake ila nahisi alikuwa anaitwa Kimboka au Kasimbagu.
Kuna watu wanadai huyo jamaa aliajiliwa pale jamatini kama mlinzi tu ila akaitumia hiyo nafasi kudai ile ni nyumba yake na wasukuma wakamwamini kirahisi.
I think so.
Sina hakika kama alikuwa anajihusisha na Abortion lakini ndiye aliyekuwa dokta maarufu sana akijihusisha na kutibu matatizo ya wakina mama Pale Hospital ya Mkoa(Kitete)
Dr.Kobelo aliyekuwa bingwa wa kutoa mimba kina mama???