Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
- Thread starter
- #261
Mkuu aliyefikwa na mauti akiwa Mwanza mwaka jana ni Dr Othman yule mzenji aliyelowea Tabora. Dr Aziz ni yule msomali ambaye alikuja kufungua ofisi yake pale Alipokuwepo Dr Mhina baada ya Dr Mhina kuhamia Dar.
Kwenye List ya madaktari waliokuwa na dispensary zao ongezea Dr Mhina na Dr Liwa.
Mwanangu Hiyo list ya madr imekamilika!
Dr Azizi Mwaka 95 alikua upinzani kisiasa! Na km sikosei aligombea kupitia Sijui Cuf! Baada ya Hapo uchaguzi umeisha alibanwa na serikali wakamnyima Leseni aliyumba ki uchumi mpk akarudi CCM ndo wakamuachia!