Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Mkuu aliyefikwa na mauti akiwa Mwanza mwaka jana ni Dr Othman yule mzenji aliyelowea Tabora. Dr Aziz ni yule msomali ambaye alikuja kufungua ofisi yake pale Alipokuwepo Dr Mhina baada ya Dr Mhina kuhamia Dar.

Kwenye List ya madaktari waliokuwa na dispensary zao ongezea Dr Mhina na Dr Liwa.

Mwanangu Hiyo list ya madr imekamilika!

Dr Azizi Mwaka 95 alikua upinzani kisiasa! Na km sikosei aligombea kupitia Sijui Cuf! Baada ya Hapo uchaguzi umeisha alibanwa na serikali wakamnyima Leseni aliyumba ki uchumi mpk akarudi CCM ndo wakamuachia!
 
Kweli Mkuu masiku zinakwendaga hazirudi....namkumbuka Mwl wng Mwl Omary Mihayo secondary Mungu amlaze pema na wengine wengi ambao wametangulia mbele za Haki wapi KABULORA KB mzee wa Kikapu.
 
Chini ya Mwalimu Omari! Mihayo walikua na kadada hivi miaka Hiyo kwenye netball na Basketball kanaitwa Pewa keupe hivi na mwingine Joyce Masamalo! Unawakumbuka?

Hawa walikua hodari sn kwenye michezo!
Huyo Pewa kama sikosei ni Mjukuu wa Mzee Simbila. Huyu Mzee ni maarufu ktk siasa ndiye mmoja wa waasisi wa NCCR Mageuzi mkoani Tabora
 
Na ndiye aliyekuwa mzuri kuliko wote, sijui yuko wapi?
Nilikutana na binti ntabaye mmoja Dar, sikumbuki ni yupi ila sio Macrina.


Alikua NMB Tbr pale ila kwa sasa sielewi!
 
Chini ya Mwalimu Omari! Mihayo walikua na kadada hivi miaka Hiyo kwenye netball na Basketball kanaitwa Pewa keupe hivi na mwingine Joyce Masamalo! Unawakumbuka?

Hawa walikua hodari sn kwenye michezo!
Huyo Pewa kama sikosei ni Mjukuu wa Mzee Simbila. Huyu Mzee ni maarufu ktk siasa ndiye mmoja wa waasisi wa NCCR Mageuzi mkoani Tabora

Unawakumbuka wale Mataahira Kulwa na doto warefu hivi walikua wanakaa Nation House? Mmoja nasikia alivunja Record ya Dunia kwenye riadha za Mataahira!
 
Chini ya Mwalimu Omari! Mihayo walikua na kadada hivi miaka Hiyo kwenye netball na Basketball kanaitwa Pewa keupe hivi na mwingine Joyce Masamalo! Unawakumbuka?

Hawa walikua hodari sn kwenye michezo!
Huyo Pewa kama sikosei ni Mjukuu wa Mzee Simbila. Huyu Mzee ni maarufu ktk siasa ndiye mmoja wa waasisi wa NCCR Mageuzi mkoani Tabora

Nimeongea na pewa mara ya mwisho leo, namfahamu albino simbila, imaculata (rip) chagula (sijui yuko wapi) nk.
 
Mkuu ile mihongo ilikua inaitwa Kapile Au makapile!

Na kwa wale waliosoma Kazima wanamkumbuka Mwalimu Babu Au Peter!

Vp na wale Wa Chipkizi? Mwamkumbuka Mwalimu Kisanji?

hahahaha hiyo mihogo ilikua inaitwa 'h0go la mzee amiri" pale kaka ilikua balaa shule karibu sita tulikua tunakutana pale..uhuru prmry ,mwenge, uyui, kazima, gongon, town school mpaka wa mihayo walikua wanafata h0go la mzee amiri..
 
Pale uhuru primary ndo nimesoma kulikua na mwalimu mbaruku(marehemu), mwlm chambera ,mwlm simwanza (marehem) mwlm shija mwlm ghuliku af mwishon akaja braza ndagula mwlm alienifundisha mpira.,

nikaenda mihayo secondary pale nlikutana na mtu mmoja anaitwa pilato siku ya kwanza tu kulipot nlikutana na mtu anaitwa pilato nlikula fika ka kumi za uchelewaji dah mboka mkoa wangu isevya kata yangu ebu ikumbukwe japo vibarabara vya molamu
 
haaaahhaah Taradadi yule wa Urambo?alikuwa na kama mwarabu fulani na ana manyoya kama nyani nakumbuka cc tulikuwa tunamwita taradadi manyoya alikuwa na sifa ya kungonga wasichana sana kipindi cha UMITASHUMTA
Aah nimecheka mpa basi. Taradadi alikuwa ni mwalimu wa primary school sikimbuki jina. Lakini pia alikuwa ni kocha wa mchezo wa riadhaa. Pia alikuwa ni mwalimu kwenye magwaride ya chipukizi. Siku hizi naona yamekufa. Ila mara ya mwisho nilimsikia kwenye radio kipindi cha michezo akiongea kama Afisa Utamaduni nadhani ni Manispaa ya Tabora kuhusu maandalizi ya mchezo wa riadhaa.

hahahahaha si tulikua tunamwita kigozi manyoya...ly 2001 uhuru primary
 
Nani anamkumbuka Yule alie watapeli Wasukuma kwa kuwauzia gorofa la Jamatini? Alikua anaitwa Profesa, anakaa Kule km unakwenda Kiloleni kabla ya kuvuka reli mkono Wa kushoto! Alikua na migarigari ivi pale kwake!

hahahaha kaka aliwa kuwazia na uwanga mpira wa miguu wa vita wasukuma wakaingiza ng'ombe jion tunakwenda kuchek game tunakuta mifugo.. af alikua na gar lake akibeba abira mkifika parin anawashusha mcheze mzik uku akiwa na gobole lake
 
Nahisi Warusi hawapendi kuolewa na waafrica na kuja Kuishi Africa! Yani alikua km kasuswa vile!

Ukikutana nae sokoni Yule mama unamuonea Huruma!

Mkuu we Acha tu! Ile familia ilikua km Ina laana vile!

huyo mana alifariki kwa kugongwa na pikipiki..r.i.p
 
Ntuzu haaaah hah! Umenikumbusha mbali sana, imebidi nicheke sana.
Huyo jamaa namkumbuka sana hususani yale magari yake. Inaoneka alikuwa tapeli sana mpaka wasukuma wakauziwa msikiti wa wahindi wa Jamatini, na ng'ombe wakaanza kuziswaga kuzipeleka pale!!

Sina kumbukumbu vizuri sana za jina lake ila nahisi alikuwa anaitwa Kimboka au Kasimbagu.

Kuna watu wanadai huyo jamaa aliajiliwa pale jamatini kama mlinzi tu ila akaitumia hiyo nafasi kudai ile ni nyumba yake na wasukuma wakamwamini kirahisi.

hahahaha magari yake yalikua yameandikwa 'today me tomorow ts you'
 
Last edited by a moderator:
I think so.
Sina hakika kama alikuwa anajihusisha na Abortion lakini ndiye aliyekuwa dokta maarufu sana akijihusisha na kutibu matatizo ya wakina mama Pale Hospital ya Mkoa(Kitete)

ndo yeye alikua akitoa kichanga anamtupia mbwa wake ale dah aithee kama kuna moto kweli uyo kawa kuni..
 
Nakumbuka Ile fainali ya kombe la Mgulunde Kati ya Milambo wanaume na Uyui sec ilichezwa siku mbili na Milambo kuchukua kombe tulitembeza kombe bado tabora boys. Maana macho ya kwanza Uyui tu liwafunga wakatoboa mipira. Acha kabisa.
 
Nimekula sana cheuros (sina uhakika na spelling) za waburushi wale. Kibinti chao kimoja nilisoma nacho.
Nawakumbuka pia watoto wa Kwikima kina Saada? sijui wako wapi?
Kwikima's wengi wapo Dar. Sada kama sikosei ni Daktari wa binadamu now.
 
Back
Top Bottom