Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Hahahahaha... nashukuru mungu alinijalia kumbukumbu tehtehteh.... huwaga nakumbuka komenti tu ileee uzi ulikua unahusu makabila



cc Smart911
Haha mdogoake stori moja kusimulia Mara kumi inachosha na inapoteza mvuto
 
SaleheSaleheKimenya amesoma na mdogo wangu hapo Uyui baada ya mimi kutoka. Ila Salehe hakucheza Basketball.
 
SaleheSaleheKimenya amesoma na mdogo wangu hapo Uyui baada ya mimi kutoka. Ila Salehe hakucheza Basketball.
 
SaleheSaleheKimenya amesoma na mdogo wangu hapo Uyui baada ya mimi kutoka. Ila Salehe hakucheza Basketball.

ni kweli kabisa, Salehe hakucheza Basketball, alikuwa mshikaji tu, ila watu waliosoma A Level na walicheza Basket ni kama Onesmo,Anthony Gutta, kiobya,Arnold Kiejo,Kamwanga nk
 
Nakumbuka nilivyoingia milambo high school nikapita mitaa ya chem chem kila nyumba nasikia harufu ya pilau ukiangalia nyumba zilivyopinda nilichoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama tabora ttc sisi pale kulikuwa na kiongozi mnaa
 
Vipi kwenye Party zenu na wadada Wa T Girls? Na wale Wa Milambo? Wakumbuka mashindano ya kombe la Mihayo na Mgulunde? Vijana Tulikua tunacheza sn mpira! Kweli mboka ni hazina ya vipaji!
Napale uwaziri
 
Pale nmb mihayo au
 
Wagogo hatuna walimu Walevi ss danganya wengine
 
Duu sitasahau ugomvi wa Tabora boys na milambo wakigombea mademu wa kazima Enzi hizo kazima kulikuwa
na warembo....mwenye no ya evelini kisenge tafadhali....fungulia dog ya mwanaisungu club.tuliopo Dar tutafutane jamani
Lakini mlikuwa hamuwezi kuwabandua
 
Unamkumbuka kumbe Laurence Gama
 
Mhenga mwenzangu. Isevya kwa kwa Ali Maguberi, kina marehemu Hamis Magurdumubna vitumbua vya moto, matapeli wa mwanzooo kina Juma Nkolokosho.

Enzi za Uhazili tulitesa sana, Railway Club. Timu ya basketball kina Kamsululu. Nimekumbuka mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…