waswezi unawakumbuka? nimesoma uyui na gongoni, uhazili nimecheza basketball, disco la muungano mess nimecheza. makokola je, vipi?
Unaikumbuka mitaa ya Bachu, Gongoni, Chemuchemu, Mwanza rd ....?
Ntabaye namfahamu alikuwa jirani yetu. Ninachokumbuka, tulienda kwake kusali jumuiya akatutoa baru, kuwa hamuhitaji Yesu wetu. Lkn Mungu si ntabaye, mumewe Mungu alivyomchukua, akaanzaje kusali.
Nawakumbuka waswezi wakati niko mtoto walinitokea sehemu wakiwa wamejipaka marangi usoni Nika wa amkia shikamoo wakanijibu marahanyo ,walikuwa wana lugha ya ajabu ajabu sana, aise mboka Safi sana
Unaikumbuka mitaa ya Bachu, Gongoni, Chemuchemu, Mwanza rd ....?
Mi sikujui,ila naskia kuna kitu kinaitwa.
SoLOkOto
Disco la mwanaisungu, tabora hotel.
Basketball kwenye grounds za uhazili.
Nani alisoma mwenge, kipindi cha mwalimu chiboni?
Mwanangu Uhazili Maduu walikua kibao! Mazoezi ulikua unafanya Kweli Mkuu?
Kuna Matunda huenda yako Tabora tu, kwa mfano Ntalali, Mbuguswa, Mamtonga nk.
Nilijaribu kuyatafuta mikoa mingine lakini sikufanikiwa.
pia kuna mchizi wangu tozi wa miaka ilee alikuwa anakaa national somebody kwilabya,sijui atakuwa dunia ya wapi leo,daah mboka raha sana,mkuu ntuzu
inalekea wewe ulikua unakaa national house, vipi kuna jamaa naitwa john shija bado yuko mboka nation ? Na famila ya kina simbakalia bado ipo tabora ?
jambazi alikuwa anaitwa KANDEGE
Mkuu Ntuzu una kumbuka basi la Mpandawandigwa?
Urambo , tabora ,kaliua na uliyankulu @ picchu @ kahtaan
Nawakumbuka waswezi wakati niko mtoto walinitokea sehemu wakiwa wamejipaka marangi usoni Nika wa amkia shikamoo wakanijibu marahanyo ,walikuwa wana lugha ya ajabu ajabu sana, aise mboka Safi sana
ndugu maviazi 1=makafu 1=manumbu 1 umenikumbusha miaka ya 90's kulikuwa na mabasi yanaitwa Kazuge,Mamro,Sudein,Kbs na huyu Nbs,yalikuwa na keria kubwa juu yaani mzigo wa fuso nzima ulikuwa unajaa,yalikuwa yanapiga route za tabora,ndala,mwisi,nkinga,igunga,nzega sijui yameishia wapi kwani amebaki Nbs tu!
Duh! Wewe itakuwa tumeishi mtaa mmoja miaka hiyo! Hata mimi Ntabaye ni jirani yangu pia.Unaikumbuka Aposele guest house?