Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Chukua VW Golf mkuu iko poa sana, speed, stability barabarani, mziki ndani huhitaji kuongezea maspeaker, spare zisikutishe sana gharama zake unaweza kuzimudu, ukibadili spare leo sahau kuja kuibadili tena, pia sio gari za kwenda garage kila siku.
Hapo kwa experience yako unaongelea Golf Mk ngapi 4, 5 , 6 ama 7??
 
Umemaliza kaka kwa muelewa hakuulizi tena kwa ufafanuzi huu.
Cjutii kuwa mwanajf najua nami nikitaka kuagiza Car wataalam mpo
 
Alafu naona kama Toyota anafunikwa fulani hivi Tanzania maana VM na Nissan wanaspeed kubwa sana sokoni
 
Ha ha ha ha ha ha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Mkuu upendodaima , bado unatumia hii chuma VW Golf 5 GTI?

-Kaveli-
 
KAle ka kitu ni hatareee, watu waneza wakawa wanakuona kama umo kwenye IST tu..
Ila mkingia highway landcruiser anatakuwa anapata tu habari KIMESHAPITA......

Mkuu unatumia hiyo chuma ya mjerumani? Una experience nayo?

-Kaveli-
 
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.

Mkuu, tunaomba uzoefu wako ili watu wajifunze kuhusu hiyo chuma.

Wengi wanaziogopa sana VW sababu ya ughali wa spea, mafundi hakuna, haina reliability, sio fuel economy, n.k.

Kwako ilikuwaje? Kwanini uliachana nayo hiyo VW golf?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…