Ile kitu ni hatari sanaaa.. tunasubiri miaka miwili mitatu, tuweke hiyo kwa road mkuu
Hiyo utakuwa unawaonea sana mkuu ππππ.. GTi mziki wake sio wa kitotoHizo ndo chuma za kusukuma road kwa mtu wa long trip za mara kwa mara mkuu...
Mpe Tractor Schumacher halafu nipe IST tuone.Kukimbia ni uwezo wa dereva
Tafuta Golf R ndio version mpya za GTi hapo tutakukoma.Hizo ndo chuma za kusukuma road kwa mtu wa long trip za mara kwa mara mkuu.
Mie naiwaza sana Golf GTi tu kwanza ili niwanyooshe kina crown na nduguze. π
I like POWER!
-Kaveli-
Tafuta Golf R ndio version mpya za GTi hapo tutakukoma.
Bado ipo inatoa vichapo tu highway.....ππNadhani hiyo version Golf R itakuwa bado ni ghali sana!
Holy Man , kasema hiyo chuma ameshaiweka kwenye plan within two years to come anaimenya.
Hivi mkuu, VW golf yako bado unayo? I know now una crown.
-Kaveli-
Bado ipo inatoa vichapo tu highway.....ππ
Golf iko well built, ingekuwa beamer tungekuwa tushapambana sana π
Zote Sawa tu ni kupambana na changamoto. Ukipata watu sahihi na parts sahihi maisha yanaenda. Taa zinawaka tunapambana zinazimika.Golf iko well built, ingekuwa beamer tungekuwa tushapambana sana π
Raia wanaona hiki kiberiti vipi ila shughuli yake wanakukuta mbele inabidi waulize kuna engine gani humu?Golf kwa mtu asiyeifahamu akiiona muonekano wake atasema kigari cha kitoto. Kumbe kikiingia road hadi mababu wanaamkia.
Service ya kumwaga oil ni sh ngapi? Shock up zake ni sh ngapi?
Raia kitaa tunatishana sana kuhusu expensiveness ya kumiliki hiyo ndinga. Tunaziogopa mno japo tunazitamani sana! Tunabaki na hasira ila nguvu hatuna.
-Kaveli-
Hahahah backup ni β¬$Β£Β₯ ikiwepo hamna gari mbaya! Shida ni kupambana na hizo charges tu kama faranga ya manati hata Toyota ni expensiveZote Sawa tu ni kupambana na changamoto. Ukipata watu sahihi na parts sahihi maisha yanaenda. Taa zinawaka tunapambana zinazimika.
Miaka miwili mbeleni tutakuwa nalo, tuyaache ache kwanza yapoe kabisaaa πππ tusii tafutie TRA lawamaNadhani hiyo version Golf R itakuwa bado ni ghali sana!
Holy Man , kasema hiyo chuma ameshaiweka kwenye plan within two years to come anaimenya.
Hivi mkuu, VW golf yako bado unayo? I know now una crown.
-Kaveli-
Hahahah backup ni β¬$Β£Β₯ ikiwepo hamna gari mbaya! Shida ni kupambana na hizo charges tu kama faranga ya manati hata Toyota ni expensive
Service huwezi amini kama Crown tu iwapo umeamua kutumia parts genuine. Oil natumia 5w40 5L 100,000 oil filter 30,000. Hapo 130,000 nimemwaga oil.Golf kwa mtu asiyeifahamu akiiona muonekano wake atasema kigari cha kitoto. Kumbe kikiingia road hadi mababu wanaamkia.
Service ya kumwaga oil ni sh ngapi? Shock up zake ni sh ngapi?
Raia kitaa tunatishana sana kuhusu expensiveness ya kumiliki hiyo ndinga. Tunaziogopa mno japo tunazitamani sana! Tunabaki na hasira ila nguvu hatuna.
-Kaveli-
πππππππ Heshima ya barabarani muhimu mkuuBank account inasoma six digits annually, afu unamiliki VW golf supana mkononi! Mwenye wake watatu anasubiri.
-Kaveli-
All the best....Miaka miwili mbeleni tutakuwa nalo, tuyaache ache kwanza yapoe kabisaaa πππ tusii tafutie TRA lawama
Mpango mkakati bado upo wa E350 πππAll the best....
Kijana unatisha. Ndio malipo ya kujituma.Mpango mkakati bado upo wa E350 πππ
Raia wanaona hiki kiberiti vipi ila shughuli yake wanakukuta mbele inabidi waulize kuna engine gani humu?