Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Watoto wadogo wa mambo hawaelewi mambo. Wakubwa kwa umri but uelewa mdogo
 
Huo ndo utaratibu wa Mizimu, uliza wahenga 👀
Sasa Mizimu ilishakufa. Ilkiwa kitu kipo kwa katiba na inakuwa breached, what about kitu not documented ?

Wachawi na mizimu ilishakufa

Hata mambo ya Ukatoliki na blah blah nyingi zinaondolewa hakûna msingi wowote kwenye hilo
 
No reform no election inaenda kuondoa huu ujinga wa kupangana.
 
Nchi hii inahitaji "overhaul" sio kubadilisha spea hapa na pale!
 
U
Ni moja ya Mtoto Pendwa than all

Anamsikiliza sana mzee na anakwenda vile baba apendavyo

Wanamuita Ridhwan Al Hakim

Ni msuluhishi mzuri wa family issues

Pay attention
Unazingua we chawa
 
Rizi mtu ya watu na si limbukeni wala hapendi style za uchawa, mtendaji haswa!
 
Waganga wa Bagamoyo ndio nguvu hiyo?
 
For sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…