Kwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"Hali ya uchumi ya mkoa ikoje?
Ishiii.... watu wa pwani hawa.....!Kwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
Kuwa makini, ulipo tupoHahahaaaa
Si ndio wamekuja tabora ndio maana kigoma wameisha[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti vicha kutoka kgm sio kweli kigoma hamna vicha kama tbr bana imezidi[emoji14] [emoji14]
Umemuelewaje huyo jamaa?, wanapigana miti? Kwani alimaanisha nini?"wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu "
Rekebisha hii kauli. !!!!!
Ndiyo maana nimetaka maelezo zaidi. Anaposema Tabora katika watu 6 watatu ni vichaa !!!!!? Hayo ni matusi.Umemuelewaje huyo jamaa?, wanapigana miti? Kwani alimaanisha nini?
hahahhahahah,ahahahahahahIshiii.... watu wa pwani hawa.....!
Acha tu, nalafudhi za tabora na shinyanga acha kabisa....ishiiihahahhahahah,ahahahahahah
hahaah ni "kihisishi" hahahaAcha tu, nalafudhi za tabora na shinyanga acha kabisa....ishiii
Kwahiyo hao usalama wa Taifa wanapigana miti hadharani?Itakuwa ni Usalama wa Taifa wanaojifanya ni vichaa.
Kwahiyo hao usalama wa Taifa wanapigana miti hadharani?
HapanaMkuu kwani hujawahi kisikia UWT kujifanya vichaa?
Ila dah wanyamwezi wana maneno ya karaha jamani khaaaaaaKwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
Acha kuharibu uzi kwa kuleta mada zako za kichochezi. Ulishawahi kuona mchaga mdangaji?Hata hapa Dar vyangudoa wengi hutokea Tabora especially hawa wa Sinza, Kinondoni na sehemu za mujini. Kule Buguruni ni wazaramo wayao wangindo au watu wa kusini kwa ujumla. Kimara ni dada zangu wa chadema