miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Uvumilivu wa kunyimwa! Haya ni majaribu ni bora kuvumilia katika ugonjwa si katika kunyimwa.
basi tusiendeleeee kwa hiyo huku kuna kooo la kupitishia naniliiii
nimependa maelezo yako, watu wawe responsible for their own actions siyo kutafuta mtu wa kumtupia lawamaMbona wewe km vile umeshathibitisha kwamba Florah ndo alikua na matatizo?? hata kama Florah ndo alikua na matatizo kwa kumnyima mumewe but does that makes it okey kwenda kubaka?? siangetafuta jinsi nyingine ya kujiridhisha. Mbona kuna watu wananunua wanawake wa kufanya nw tendo la ndoa na wengine wanatafuta watu ambao wako tayari. Hivi km ni kweli huyo mume alikua anacheat we ulitaka Florah ndo aendelee kumvuta tuu, mbona tunasahau kuwa hata Florah ni binadamu na anahisia pia? Mbona kuna wanaume wanapatiwa kila kitu and still wanacheat??? Hata wanawake pia wapo wanaopata kila kitu and they still cheat. So kwangu mie kila mtu awe responsible kwa makosa yake na sio kutaka kumsingizia mwingine ndo amesababisha. Kila mmoja wao ana mchango wa kuifikisha ndoa yao hapo ilipo no matter who started.
Watu wanamtumia YESU kwa kutapeli watu tu,mioyo iko mbali.
Kwa wasiomjua mdogo wake na flora Mbasha huyu hapaFlora mbasha nae kazidi unene.mwanamke gani mnene ka tembo.
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.
Kilichotokea kwa mumewe Flora Mbasha mpaka kabaka shemejiye ni matokeo ya kunyimwa unyumba kwa muda mrefu na aibu hii ni kwa wote wawili. Katika hili sio kwamba nampongeza huyu jamaa kubaka ila najaribu kusisitiza wajibu wa mwanamke au mwanandoa kwa mwenzie.
Tafakari, chukua hatua.
Haki ya tendo la ndoa...
View attachment 161546
K za mashemeji ni tamu kupita maelezo.
Kwa wasiomjua mdogo wake na flora Mbasha huyu hapa
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.
Kilichotokea kwa mumewe Flora Mbasha mpaka kabaka shemejiye ni matokeo ya kunyimwa unyumba kwa muda mrefu na aibu hii ni kwa wote wawili. Katika hili sio kwamba nampongeza huyu jamaa kubaka ila najaribu kusisitiza wajibu wa mwanamke au mwanandoa kwa mwenzie.
Tafakari, chukua hatua.
Haki ya tendo la ndoa...
View attachment 161546
mtoto mzuri sana aisee jamaa alikuwa na haki ya kutafuna,,... huyu demu ajabakwa bwana kampa mwenyewe labda kama walishindwana kwenye makubaliano waliyowekeana