Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Da umenikumbusha multiple choice inavyochanganya, na hilo jibu la E wanalipenda sana yani nilikua nikishindwa nafumba macho au napiga anaanado, sasa hapo jibu ni (E)
 

Kweli kabisa mkuu
 
Habari,

Je mke anapokukatalia tendo la ndoa wakati haumwi wala hana tatizo lolote anamaanisha nini?
A. Hana hisia na wewe.
B.Humridhishi.
C.Amekuruhusu ukachepuke.
D.Anachepuka.
E.None of the above.

anamaanisha hataki uchukue uume wako na kuuingiza kwenye papuch yake
 
anataka taraka tu hakuna kingine yaani ni bora uninyime vyote lakini sio papuchi lol!
 
Da umenikumbusha multiple choice inavyochanganya, na hilo jibu la E wanalipenda sana yani nilikua nikishindwa nafumba macho au napiga anaanado, sasa hapo jibu ni (E)

ukifikiria kwa makini sana utagundua kuwa none of the above haliwezi kuwa jibu...say unalizwa ng'ombe anakula:
a. maziwa
b. asali
c. nyama
d. samaki
e. none of the above

ukiandika jibu ni e unamaanisha ng'ombe anakula none of the above..kweli? kuna chakula cha ng'ombe kinaitwa none of the above????
 
Mtongoze mkeo, akikufungulia pichu mwenyewe hakika utafurahia sana. Ukute ule uteleaiii nani haonagi furaha? Ila ka unakuja na ulevi, uchovu, na miguu inatoa harufu, unategemea nini?
Hakuna mdomo unaonuka vibaa ka wa sigara iliochanganyika na mataputapu. Hata ukiuswaki
 
asilimia thelathini anachepuka, asilimia hamsini unamkera, zilizobaki ni matatizo na usumbufu mchanganyiko. m.u.m
 
Mkeo ukonae mda gani? ivi mpaka sasa hujui akiwa anataka anakua vipi na akiwa hataki anakua vipi?je unamtayarishaje ki saikolojia au ndio ikifika usiku una msubiri kama simba umnyatie akipanda kitanda unamparura mchezo umekwisha yeye anaendelea kuhesabu boriti wewe unakoromeana kama unataka kukata roho..
 
Anataka emotional support, assurance kuwa unampenda; Tendo hili kwa wanawake ni la kuhisia zaidi kuliko kimaumbile ; Hivyo uridhiaji wake hutokana na maisha yenu ya kila siku, maongezi, urafiki , nk; Kama mmetibuana na kuna kero hawezi kuwa na hamu hata chembe.
 
Hii imetokea jamaa kafunga ndoa kanisani lakini ni mwezi mzima umepita ameshindwa kabisa kufanya tendo la ndoa,mwanamke kaamua kutimkia kwao kwani inasemekana hawakuwahi kuonja tendo hilo kabla.Je viapo vina kazi tena hapo kama si kuleta laana kwa walioviapa na kushindwa kuvitimiza?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…