Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

[emoji3][emoji3][emoji3] uzungu umezid sikuhizi ndo maana ndoa zinalegea mwanamke ameolewa au mwanamme kaoa Ili aje kusaidiwa na mwanamke hiyo ndio maana ya ndoa hayo mambo mengine achien wazungu sisi tuendeleze tamaduni zetu
 
Haki bila wajibu ni uhuni. Umenena kweli, nitatoa mfano wangu mimi. Dhumuni la kuoa lilikuwa ni pamoja na kupata msaidizi katika masuala ya kupika, kufua, kuosha vyombo na kutandika kitanda. Nilikuwa nakereka katika masuala hayo. Lakini wakati huo huo nilijua kuwa mke si mpagazi au mtwana, hivyo jukumu langu kuu ni kumwekea vitendea kazi ili iwe rahisi kwake kutekeleza majukumu yake.
1. Kawaida mfanyakazi wa ndani namtafuta mimi na kumlipa ili amsaidia mama (hapo ndipo ushiriki wangu).
2. Kufua nahakisha kuna kuna washing machine inayokausha nguo inafanya kazi (ikiwa pamoja na umeme na maji etc). Mimi sijui hata kuiwasha na sitaki kuiwasha maana ni utawala wake. Nguo za ndani huwa hazirudiwi, kwa mtaji huo lazima ziwepo si chini ya 90 ili kama miezi mitatu hajaja, basi ni ukorofi wake.
3. Kupika nahakikisha vifaa vya kurahisisha upishi vinakuwepo na vinafanya kazi.
4. Kila mtu tangu day one anajua majukumu yake katika kibanda chetu. Masuala ya kusaidiana, tunayasikia kwa jirani si kwetu maana kuna division of labour. Huu ni mwaka wa 35.
 
Atakayenioa anacho atafua boksa zake na michupi yangu 😹🀣🀣
Namwambia kabisa ukimaliza babe uje nikupoze na tumbua 🀭
😁😁😁
 
Jukumu la kufua nguo za ndani ni la Mke hili likae hvo na halina mjadala lakini baba hata ukifanya hvo katika kusakafia pendo lenu basi unafanya hata Mara moja moja hii inasaidia kufanya Mpenz wako ajihisi ni mwenye kupendwa zaidi na hata ukifanya kosa basi una weza sameheka πŸ˜…
 
Usipokuwa na agreement toka mwanzo ya division of labour, lazima ndoa ibongonyoke. Ndiyo maana utaingia katika nyumba unakuta mwanamke bila aibu anatoa amri kwa mume wake akaanue nguo nje wakati yeye anachati katika simu.
Hiyo ni noma sana mpka uambiwe hivyo utakuta hauwajibiki kama baba labda.
 
Naomba nikufulie chupi yako
 
Mwanamke kama unahitaji kufuliwa chupi njoo kwangu nafua bure kabisa
 
Huyu sasa ndio mke😍😍😍😍😍
 
Hiyo ni noma sana mpka uambiwe hivyo utakuta hauwajibiki kama baba labda.
Tema mate chini. Hata ufanye nini kamwe huwezi kuwatimizia watakayo hawa wapenzi wetu. Natoa mfano, humu JF kila wakati utasikia, mwanaume tafuta pesa. Je Kocha wa Manchester City si mke wake ambaye ameishi naye miaka 30 ametoa sababu ipi ya kudai talaka? Just imagine! Mwanamke kama ni mnoko ni mnoko tu, jinsi ya kuishi naye ni agreement ya division of labour na unahakikisha huo mkataba unadumu miaka yote, ukivunja kipengele kimoja basi wewe kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…