Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

Kwa nini niteme mate chini?( sijaelewa).

Unachokisema ni kweli kabisa ila mda mwingne hayo mambo hayanaga kanuni.
 
Kumbe mambo ya kufua chupi alaah! Anakufulia af siku mkikosana anasema "mwanaume ananitesa yule namvumilia tu nilifua boxa nikakuta vimavi mavi" [emoji3]
...
Kama nitamfulia mke wangu vyupi formula ni moja gusa achia suza anika twende mbele
 
Umeelezwa na JF uwe unatumia neno "MKUU" kila unapomu-address member humu.Hayo majina ya mwanamke au mwanaume au mtoto au mwanafunzi unayatoa wapi?Nani alikueleza mimi ni mwanamke?Halafu jifunze kutoa komenti fupifupi.Kitu kidogo unajieleza utadhani umemuona mkweo?Kuwa na adabu.Marabook!
 
Maisha ya ndoa ukiyachukulia simple unaishi vizuri sana. Tatizo ukikaza shingo na kujifanya wewe ndio wewe lazima ndoa uione chungu
Sahihi.Mimi nikiwa na memsaheeb huwezi kujua mpaka uambiwe au uwe umepitia "the very deeper school of life"!Ni kirafiki zaidi.Nami utani ulivyonijaa basi utadhani nipo na mfanyakazi mwenzangu tu.🙏
 
Mkuu, kwenye ndoa ukishaona mnaanza kupeana formula na masharti ya kuishi, basi ujue hiyo ndoa ina tatizo. Ndoa inataka muishi kama watoto wadogo. Kwa mfano simu: msiviziane kuchunguza simu zenu na pia msiwekeane masharti kuwa lazima unionyeshe simu yako. Nguo hivyo hivyo na mapishi na hata kutandika kitanda. Kuhusu nguo za ndani hili nalo mnaweza kufuliana bila masharti japo mara nyingi kwa mila za kiafrika mtu anapooga huwa anafua nguo yake ya ndani. Ila msimpe mfanyakazi.
 
Kwenye ndoa.. Hasa kwa wanaojua maana ya ndoa mambo mengi hayana formula.. Ama formula Ku u ni upendo
Nimekutunuku medani kwa hii comment. Ndoa inatakiwa watu waishi free bila fomula, bila masharti na bila kuviziana. Ukishaona ndoa ambayo ina mambo kama kupekua simu ya mwenzako, masharti ya nani anahistahili kutandika kitanda na kufua nguo za mwenzake nk basi hiyo ndoa ina tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…