Mtu anakwambia Mungu katupa uhuru wa kuchagua wakati hata siku yake ya kuzaliwa hajaichagua yeye, hata hajachagua azaliwe au asizaliwe.😹😹😹 Kweli hatuna uhuru mi nataka kufika 2090 ila siwezi
😹😹😹🙌Mungu anachoma moto Watu aliowaumba mwenyewe
Hakuna mtu ambae ata kuthibitishia uwepo wa mungu hapa, hilo ni juu yako duniani tumeletwa ili tupimwe yupi ana akili za kufikiri njia sahihi ni ipi na kuiendea kamaMpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyethibitisha Mungu yupo.
Atakua anapita na mabuti na koti kubwa🤣
Unahakikishaje duniani tumeletwa iki tupimwe? Tumeletwa na nini au nani?Hakuna mtu ambae ata kuthibitishia uwepo wa mungu hapa, hilo ni juu yako duniani tumeletwa ili tupimwe yupi ana akili za kufikiri njia sahihi ni ipi na kuiendea kama
Akili zako zime fikia hapo kuamini hakuna mungu basi hiyo ndio njia uliyo jichagulia subiria malipo yake
Usipoteza muda kuelewesha kitu ambacho huja ruhusu moyo wako ukipokee.
Basi kaka inatosha, nimeona huko juu umewapelekea moto mpk wamepoteana..😹Nasema hivii,
Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Kama kuna mtu anabisha na kusema Mungu yupo, aje hapa atupe uthibitisho.
U-busy huu umenikosesha vitu vitamu sana..! 😹🤣Unafika ukumbini show ndiyo inakwisha 😆
Wanapiga chenga, ukweli wanaujua moto wako basi tu wanakaza mafuvu.. 🤣Halafu maswali yangu hawajibu wanajibaraguza kama hawajayaona.
Hata wazazi hajawachagua, amejikuta ametokea kwa wazazi walevi 😹Mtu anakwambia Mungu katupa uhuru wa kuchagua wakati hata siku yake ya kuzaliwa hajaichagua yeye, hata hajachagua azaliwe au asizaliwe.
Kajikuta tu analamba makamasi.
Sasa hapo ana uhuru gani?
😹😹😹Atakua anapita na mabuti na koti kubwa🤣
Nikichogundua ni kwamba watu wengi wana uwezo mkubwa sana wa kujitungia hadithi za uongo za kujitekenya wenyewe kisha wakacheka wenyewe.Basi kaka inatosha, nimeona huko juu umewapelekea moto mpk wamepoteana..😹
Naam,Hata wazazi hajawachagua, amejikuta ametokea kwa wazazi walevi 😹
Qur-an (76:02) maamuzi ni yako jinsi gani utumie akili zako hulazimishwi na mtuUnahakikishaje duniani tumeletwa iki tupimwe? Tumeletwa na nini au nani?
Kwa nini unaongelea suala la kuamini wakati mimi sitaki kuamini, nataka kujua?
Quran imejaa contradictions. Nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzitatua.Qur-an (76:02) maamuzi ni yako jinsi gani utumie akili zako hulazimishwi na mtu
Unaweza kujua kitu bila kuamini.?
Hizo contradictions unaziona kutokana na akili yako inavyo fikiri, hilo sio lengo nime sime hivyo sababu ndio kitu nacho amini mimi,Quran imejaa contradictions. Nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzitatua.
Kama maamuzi ni yako jinsi gani utumie akili yako, ikiwa huna akili, bado hapo maamuzi ni yako utumie akili ambayo huna?
Kujua nini na kuamini ni nini na tofauti yake ni nini?
Sasa kama hizo contradictions hazipo ila naziona kwa jinsi akili yangu inavyofikiri na akili hiyo nimepewa na Mungu, hapo kosa ni langu au ni la huyo Mungu kunipa akili isiyoweza kuelewa vizuri?Hizo contradictions unaziona kutokana na akili yako inavyo fikiri, hilo sio lengo nime sime hivyo sababu ndio kitu nacho amini mimi,
Sitaki kuamini kwamba huelewi nini wasema