ww unashida,kwasbb unauliza habari za Mungu wakati tayari ushasema hayupo.Ubongo wako hauna uwezo wa kuhimili hii mijadala 🚮🚮
Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani? Ni nani?unataka kunitoa kwny reli unataka kumjua Mungu wakati umeshasema hayupo! maajabu haya.
jibu maswali niliyo uliza huko juu.
naona nguli wa wa hizi habari za Mungu hayupo my brother Kiranga kama kakaa kando hv anasikilizia
ndio sisi ni wapuuzi kama maana ya upuuzi ni kutokujuakama hufahamu vyanzo vyake basi Mungu ndy chanzo cha vyote hivyo kupitia Imani ya dini.
titizo ni ujinga wenu tu kujifanya mnajua sana habari za ghaibu.
kama hamuamini Mungu muumba wa vyote mkae mnyamaze kwasbb nanyinyi ni wapuuzi tu msio jua chanzo cha ulimwenguni,uhai,maji,hewa nk.
Mungu ni Imani na huwez kumuamini Mungu bila kuwa na ImaniNimekwambia sifahamu, wewe una
Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani?
Kama hufahamu kaa kimya, mbona unakimbilia kwa Kiranga.
Huyo Mungu unayamtaja kwanza huwezi kumthibitisha kama yupo, kama unaweza Thibitisha.
basi niambie chanzo cha ulimwengu,hewa,na maji ni nini? kupitia mtazamo wako.ndio sisi ni wapuuzi kama maana ya upuuzi ni kutokujua
na ndio, mungu ni chanzo cha vyote hivyo KUPITIA IMANI YA DINI pekee
lakini kwa mtazamo wetu, yeye sio chanzo
sifahamu ndugu yangubasi niambie chanzo cha ulimwengu,hewa,na maji ni nini? kupitia mtazamo wako.
Mkuu acha kuzunguka , zunguka, njoo na jibu la moja kwa moja, yuko wapi?Mungu ni Imani na huwez kumuamini Mungu bila kuwa na Imani
imani zipo za aina nyingi sana na zote hizo zinaamini kuna Muumbaji
wewe mbona unaamini kuna hewa,sauti nk je ulishawahi kuviona vipo wapi?Mkuu acha kuzunguka , zunguka, njoo na jibu la moja kwa moja, yuko wapi?
Kama yupo unashindwaje kujua ametokea wapi
Mungu ni Imani huelewi nini?
hapo sawa titizo lililopo ni watu kushindwa kuheshimu imani ya mtu anaye amini katika nguvu ya uumbaji.sifahamu ndugu yangu
mtazamo wangu ni kwamba kutokufahamu sio vibaya
Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani? Ni nani?
Kama hufahamu kaa kimya, mbona unakimbilia kwa Kiranga.
Huyo Mungu unayamtaja kwanza huwezi kumthibitisha kama yupo, kama unaweza Thibitisha.
Kama huwezi tulia 😎
siwez kuthibitisha kwasbb ulishasema Mungu hayupo.Thibitisha Mungu yupo.
tuanze kwanza na hv.Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Kwa hivyo na wewe umekubali Mungu hayupo?siwez kuthibitisha kwasbb ulishasema Mungu hayupo.
labda sasa nijibu maswali yangu najua umeyasoma na umeyaelewa.
Mimi siamini kama upepo na sauti vipo, Imani ni kua na uhakika wa kitu ambacho hukioni wala hujawahi kukiona.wewe mbona unaamini kuna hewa,sauti nk je ulishawahi kuviona vipo wapi?
Hayo maswali yote ni whataboutism logical non sequitur fallacies.tuanze kwanza na hv.
nini chanzo cha ulimwengu
nini chanzo cha maji
nini chanzo cha hewa
tukipata majibu ya haya maswali sasa ndy tuanze kuuliza kuhusu uwepo wa Mungu Muumbaji
hayo maswali ndy msingi wa kama Mungu yupo au hayupo.Hayo maswali yote ni whataboutism logical non sequitur fallacies.
Kama chanzo ni muhimu sana kwako, ni nini chanzo cha Mungu?
na mimi nikitumia dhana hiyohiyo ya kuamini uwepo wa Mungu kuna shida gn?Mimi siamini kama upepo na sauti vipo, Imani ni kua na uhakika wa kitu ambacho hukioni wala hujawahi kukiona.
Mimi najua kwamba upepo nasauti vipo, vinapimika, vinahisika.
Kitu kinaonekana, Imani ya nini.
Hapana, hayo maswali hayana uhusiano wowote. Ni logical non sequitur fallacy. Ni whataboutism.hayo maswali ndy msingi wa kama Mungu yupo au hayupo.
kama huna majibu bs huwez kumjadili Mungu yupo au hayupo.
sitaki unikubalie nimekuuliza nini chanzo cha ulimwengu,hewa na majiHapana, hayo maswali hayana uhusiano wowote. Ni logical non sequitur fallacy. Ni whataboutism.
Na hata nikikukubakia kwamba tuseme hayo yote kaanzisha Mungu, kwa immanent critique, kwa kuanzisha tu uchunguzi kifalsafa, nikachukua mantiki yako hiyo hiyo ya kutafuta chanzo, nikakuuliza, na Mungu naye chanzo chake nini, huwezi kunipa chanzo cha Mungu.