Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Acha mambo mengi we amini Mungu yupo ..
 
We mtu wa Mungu uwezi kutukana vile na wewe ndio unatufanya tuhakikishie kuwa hakuna mungu
 
Kama Kila Kitu kina Mzizi Ipi Asili Ya Mungu wa Wakristo,Waislamu na Wayahudi..
Maana Asili ya Mungu wa Wahindu, Wabudha, Kaballah na Dini zingine Anajulikana
 
Acha mambo mengi we amini Mungu yupo ..
Mungu angekuwapo, tusingehitaji kuamini yupo.

Wote tungejua yupo, tungejua bila shaka, na wote tungemjua Mungu wa kweli kusingekuwa na longolongo za kila mtu na Mungu wako.

Kuamini Mungu yupo nako ni uthibitisho Mungu hayupo.

Yani ni hivi, hata nikisema nikubali unachosema, niamini Mungu yupo, huko kuamini Mungu yupo nako kutakuwa ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.
 
Mungu si kitu wala jambo au mambo flani, sababu ni zaidi ya hayo na aliyo yaumba
Hujajibu Swali umesema Kila Chochote Kina Asili Bhasi nimeuliza Bhasi asili ya Mungu ni wapi na ni lini mizizi yake mbona ni swali jepesi..
Nimekupa Mfano ukienda kwa Hizo dini zingine utaona Wanaelezea Jinsi Mungu alivyotokea na Jinsi alivyoumba Mumgu wengine kwa Kazi zingine mpaka ikafikia Kuumba kwa Ulimwengu
 
Kwahiyo wewe unaamini uwepo wako na hapo ulipo ni alinacha?
 
Kwahiyo wewe unaamini uwepo wako na hapo ulipo ni alinacha?
Kwa nini unaulizia kuamini?

Kuqmini si muhimu. Unaruhusiwa kuamini unavyotaka, iwe uongo, ukweli.

Imani ni haki ya kibinadamu. Amini vyovyote unavyotaka.

Sasa kwa nini unajikita kwenye maswali ya "unaamini?".

Yani ni hivi, imani unaruhusiwa kuamini hata uongo, sasa swali la imani lina umuhimu gani?

Let's talk about facts, si imani.
 
Umewai kujiuliza how the planets eg earth mars ...the sun moon.. stars ...mvua ...namna jua Lina waka na mwishowe usiku kuingia ni...namna majira kama kipupwe kiangazi kuja zikipishana ni binadamu aliweka au maana hamna binadamu mwenye uwezo wa hivyo
 
Uwezi kumzunguzia mungu wa kweli kwenye kitu ama jambo sababu yeye si kitu ama jambo, wao baniani sijui nani wanaabudu vitu ambavyo wameunda wenyewe sisi tuna muabudu yule aliye tuumba siye, ukirudi kwenye swali sisi tuna muamini na kumuabudu mungu aliye juu tena juu zaidi ya kila alivyo viumba zaidi ya mambo yote ambayo tunayaendea mbioo, na hutuwezi kumuabudu mungu wa kuundwa au kutengezwa, na kaweka bayana mungu kama miungu hao wengine unao wasema miungu ya uongo yeye ni mmoja hajazaa wala hajaazaliwa kasema kwamba hajafanana na yoyote na hii ni kwa imani yangu ya kiislam, niambie bayana ipi unaisema wewe wakati mungu mbona kaweka wangu kaweka bayana, sasa kwa akili zako kwa bayana hii utataka kusema au kuhoji kwanini hazai, yeye si binadamu ni mungu habari za kuzaa na yeye wapi na wapi natamani uniulize zaidi
 
Kwani ikiwa hakuna binadamu aliyeweka hivyo, basi ni lazima Mungu kaweka?
 
Kama kuna mtu haamini kama kuna Mungu basi ajaribu kumuita Mungu kwa Imani atapopata jibu ndio ataamini.
 
Kwa hiyo mungu huwa anapita kila nanasi kuweka sukari??
Hapiti kila sehemu lakini utaratibu wa uundaji wake na matendo ndiyo maana tunawambia anastahili kushukuliwa, hiyo ni miongoni mwa mifano midogo kati ya mikubwa ambao yote kwa ujumla ndio maana tunawasisitiza ndugu zetu
 
Nature ndo Mungu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…