Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

Wewe mwenyewe uandishi wako ni wa kihayawani, huenda unvuta bangi kabla ya kushiba
Jifunze kwanza KUJENGA hoja. Siyo kuwa mpiga. Zezeta la Wanasiasa
 
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.

Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.

Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).

Karibu Kama kweli una hoja.

Kwa wale "Toxic people" wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia (Hakikisha unajua unachozungumza ). Jenga hapa HOJA yako, IJIBIWE!!!​

Kichwa cha habari chenyewe ni tatizo - why do you refer someone with a different opinion toxic ?

Itakuwa ngumu sana kujenga hoja na wewe maana tayari hauko objective ?
 
Nyie ndiyo wale mnao lipwa kumchafua JPM?

Wananchi tulishagoma, kazi za JPM na uthubutu wake tunaujua vyema sana
 
Hoja yako iko wapi?

Unapenda sana kuandika lundo la maandishi yasiyo na mantiki yoyote.
Nimekuonesha kwa mifano vile ulivyoleta mada ambayo huwezi kuisimamia, unajitutumua tu. Kama unaamini Samia hakosei kwanini unataka kumtetea?

Kuonesha ulivyo mjinga kupitiliza, asilimia kubwa ya majibu yako kwenye huu uzi wako ni kuwauliza maswali waliokuuliza, una kichwa kidogo wacha kujikuza.
 
Una hoja??
 
Nyie ndiyo wale mnao lipwa kumchafua JPM?

Wananchi tulishagoma, kazi za JPM na uthubutu wake tunaujua vyema sana
Magufuli alitengeza kigenge cha wasukuma wapumbavu sana
 
Kwa wale "Toxic people" wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia (Hakikisha unajua unachozungumza ). Jenga hapa HOJA yako, IJIBIWE!!!​

Kichwa cha habari chenyewe ni tatizo - why do you refer someone with a different opinion toxic ?

Itakuwa ngumu sana kujenga hoja na wewe maana tayari hauko objective ?
Jenga hoja acha kulia lia
 
Kutokuheshimu mawazo ya wenzio, kujiona upo sahihi saana kwa jambo mtambuka hasa siasa.
Ikiwa hivyo basi una tatizo au maslahi mahali.
 
You mean aende kwa Ground akajionee !!!
Hivi tz kuna rais au kuna mama?
Ambaye hajui uchungu wa watz wa kawaida, anayelinganisha uchumi wa marekani na uchumi wa watz wanaokula ubuyu na asali. Taifa linapita kqenye wakati mgumu sana. Ukitaka kujua ukweli nenda (njoo) mahali wanapoishi wananchi wa kawaida ambao ndio hasa wanawakilisha kundi kubwa la watanzania wote.

Huwezi kwenda pamoja na waliokutangulia. Kuna wakati inabidi utembee pekeyako kwenye njia yako(walk on your own path)
Si kila aliye mbele yako anaelekea kule uendako.

Sherehe na hafla zisizo na tija kwa taifa.
Safari nyingi za nje ya nchi kwa viongozi mbalimbali. Huku wananchi wanakatwa tozo za miamala, wanahamasishwa kucheza michezo ya bahati nasibu huku wao wakitumia fedha hizo kwa maslahi yao. Wanannchi wanalia bidhaa bei ghali, gharama za maisha ziko juu.

Kuanzishwa kwa sensa ya makazi kwa lengo la kukusanya kodi ya ardhi na makazi toka kwa wananchi wa hali ya chini ambao hata kula kwao ni shida.
Narudia tena, UKITAKA KUSIKIA VILIO HIVI, NJOO WANAKOISHI WATANGANYIKA!
 
Kutokuheshimu mawazo ya wenzio, kujiona upo sahihi saana kwa jambo mtambuka hasa siasa.
Ikiwa hivyo basi una tatizo au maslahi mahali.
Mimi naheshimu sana mawazo ya watu. Ingawa asilimia kubwa ya watu wanaolalamika kuhusu hili, Ni mabingwa wa kutoheahimu mawazo na machaguo ya watu.

Ili uonekane wewe ni akili kubwa, huna njaa, inabidi ukubaliane na kila wanachotaka wao.
 
You mean aende kwa Ground akajionee !!!
Soma hapo kwanza.

Maana Kuna watu mnaishi kwa fantasies sana. Mnaona Mambo yasiyokuwepo.

Mkaruka uliwahi kuwa moja ya wakosoaji wa serikali ya awamu ya tano, kwanini unawaita wakosoaji wa awamu ya 6 ni "toxic" only kwa sababu wewe umeridhika nayo.
 
Una matatizo ya AKILI.

Tafuta mwanasaikolojia akusaidie.
Hahahahhaaaaa, kulia ni kupokezana.
Wacha leo tuonekane tuna hayo matatizo (ya akili) kwasababu nchi iko mikononi mwa walamba asali.

Wale ambao enzi za JPM waliacha kazi kutokana kukatwa kwa mirija ya ufisadi. Leo hii mnakula kwa urefu wa kamba.
Nchi imekosa mwelekeo. Vilaza wameshika hatamu.
Yaani tatizo dogo linatatuliwa kwa miezi. Angekuwepo baba wala isingechukua hata masaa, suluhisho lingepatikana. RIP JPM, kiongozi makini na mzalendo
 
Hahahahhaaaaa, kulia ni kupokezana.
Wacha leo tuonekane tuna hayo matatizo (ya akili) kwasababu nchi iko mikononi mwa walamba asali.

Wale ambao enzi za JPM waliacha kazi kutokana kukatwa kwa mirija ya ufisadi. Leo hii mnakula kwa urefu wa kamba.
Nchi imekosa mwelekeo. Vilaza wameshika hatamu
Utalia mpaka unakufa unless kama akili zikirudi. Mbowe Yuko ikulu, week na baba yako mko wapi?
 
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.

Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.

Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).

Karibu Kama kweli una hoja.
Mimi nakuunga mkono na miguu, kuhusu Mana Samia nimekataa kufuata mkumbo wa ulalamishi.

Ukitumia akili ndogo tu utagunduwa mama amekabidhiwa nchi iliyokuwa inakwenda kufirisika na ilikuwa inaendeshwa kwa propaganda, sasa kinachomgharimu ni yeye kuwa mkweli na kusema ukweli bila kusadikisha watu uongo na propaganda.
 
Utalia mpaka unakufa unless kama akili zikirudi. Mbowe Yuko ikulu, week na baba yako mko wapi?
LOL!
Laiti kama ikulu ingekuwa ni makazi ya kudumu basi ingekuwa heri.
Ila kwakuwa ni sehemu ya kupokezana yote yanawezekana.
Waambie waliokutuma wajitokeze hadharani kujibu hoja za wananchi. Wasiogope mabango.
Halafu kama nchi ina watu wenye matatizo ya akili basi wanaowaongoza wanapaswa kujitafakari
 
Back
Top Bottom