Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nazungumzia ukosoaji wa kihayawani. Sizungumzi kumpemda Rais.
Jifunze kusoma vizuri mada.
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Nyie ndiyo wale mnao lipwa kumchafua JPM?Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Nimekuonesha kwa mifano vile ulivyoleta mada ambayo huwezi kuisimamia, unajitutumua tu. Kama unaamini Samia hakosei kwanini unataka kumtetea?Hoja yako iko wapi?
Unapenda sana kuandika lundo la maandishi yasiyo na mantiki yoyote.
Una hoja??Nimekuonesha kwa mifano vile ulivyoleta mada ambayo huwezi kuisimamia, unajitutumua tu. Kama unaamini Samia hakosei kwanini unataka kumtetea?
Kuonesha ulivyo mjinga kupitiliza, asilimia kubwa ya majibu yako kwenye huu uzi wako ni kuwauliza maswali waliokuuliza, una kichwa kidogo wacha kujikuza.
Jenga hoja acha kulia liaKwa wale "Toxic people" wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia (Hakikisha unajua unachozungumza ). Jenga hapa HOJA yako, IJIBIWE!!!
Kichwa cha habari chenyewe ni tatizo - why do you refer someone with a different opinion toxic ?
Itakuwa ngumu sana kujenga hoja na wewe maana tayari hauko objective ?
Hivi tz kuna rais au kuna mama?
Ambaye hajui uchungu wa watz wa kawaida, anayelinganisha uchumi wa marekani na uchumi wa watz wanaokula ubuyu na asali. Taifa linapita kqenye wakati mgumu sana. Ukitaka kujua ukweli nenda (njoo) mahali wanapoishi wananchi wa kawaida ambao ndio hasa wanawakilisha kundi kubwa la watanzania wote.
Huwezi kwenda pamoja na waliokutangulia. Kuna wakati inabidi utembee pekeyako kwenye njia yako(walk on your own path)
Si kila aliye mbele yako anaelekea kule uendako.
Sherehe na hafla zisizo na tija kwa taifa.
Safari nyingi za nje ya nchi kwa viongozi mbalimbali. Huku wananchi wanakatwa tozo za miamala, wanahamasishwa kucheza michezo ya bahati nasibu huku wao wakitumia fedha hizo kwa maslahi yao. Wanannchi wanalia bidhaa bei ghali, gharama za maisha ziko juu.
Kuanzishwa kwa sensa ya makazi kwa lengo la kukusanya kodi ya ardhi na makazi toka kwa wananchi wa hali ya chini ambao hata kula kwao ni shida.
Narudia tena, UKITAKA KUSIKIA VILIO HIVI, NJOO WANAKOISHI WATANGANYIKA!
Mimi naheshimu sana mawazo ya watu. Ingawa asilimia kubwa ya watu wanaolalamika kuhusu hili, Ni mabingwa wa kutoheahimu mawazo na machaguo ya watu.Kutokuheshimu mawazo ya wenzio, kujiona upo sahihi saana kwa jambo mtambuka hasa siasa.
Ikiwa hivyo basi una tatizo au maslahi mahali.
Soma hapo kwanza.You mean aende kwa Ground akajionee !!!
Hajitambui.Kutokuheshimu mawazo ya wenzio, kujiona upo sahihi saana kwa jambo mtambuka hasa siasa.
Ikiwa hivyo basi una tatizo au maslahi mahali.
Hahahahhaaaaa, kulia ni kupokezana.Una matatizo ya AKILI.
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie.
Utalia mpaka unakufa unless kama akili zikirudi. Mbowe Yuko ikulu, week na baba yako mko wapi?Hahahahhaaaaa, kulia ni kupokezana.
Wacha leo tuonekane tuna hayo matatizo (ya akili) kwasababu nchi iko mikononi mwa walamba asali.
Wale ambao enzi za JPM waliacha kazi kutokana kukatwa kwa mirija ya ufisadi. Leo hii mnakula kwa urefu wa kamba.
Nchi imekosa mwelekeo. Vilaza wameshika hatamu
Mimi nakuunga mkono na miguu, kuhusu Mana Samia nimekataa kufuata mkumbo wa ulalamishi.Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
LOL!Utalia mpaka unakufa unless kama akili zikirudi. Mbowe Yuko ikulu, week na baba yako mko wapi?