Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Hapa nyumbani kwa shangazi napoishi hua kazi zote za namna hizo hua nafanya mimi, wao wananishangaa nawezaje kufanya hizo kazi na mimi nawashangaa wanashindwaje kufanya hizo kazi ndogo ndogo.
Ukiweza jifanyia vitu vidogo vidogo kwako, hutokuja shindwa ishi popote wala na yoyote, iwe kwa ndugu au kwako utaonekana mtu muhimu sana, nakumbuka enzi nakua pale mtaani kwetu (kota) nilivyokuwa muhimu, kurekebisha tv, deki, antenna, simu, sprayers, mabomba, baiskeli nk nilikuwa naonekana mtoto wa mfano kwa kila mtu
 
Nimeona uzi nikaangalia room yangu na sebule ilivojaa nadhani nikinunua vifaa vyote ulivyoweka hapa labda niwe naviweka kitandani
 
Itakuwa wanajiandaa kufungua chuo Cha veta😀
Imagine unakuja kwangu unakutana na hivyo vitu vyote alivyoorodhesha mleta mada.

Unaweza kujiuliza "hivi huyu jamaa hiki ni chumba cha kuishi au stoo ya fundi makenika au stoo ya hardware?
 
Nimekutana na jamaa anako haka kakifaa geto alinunua kwa machinga barabarani, kana nyundo, pliers, screwdriver, kisu nk kanamsaidia ishu ndogo ndogo
 

Attachments

  • IMG_20230330_112340_041.jpg
    3.4 MB · Views: 8
  • IMG_20230330_112324_000.jpg
    3.8 MB · Views: 8
Acha kukaza hilo fuvu hapo juu ya shingo. Vitu simple lkn unashindwa kuelewa kwa sababu umekaza hilo fuvu.
Hakuna kitu hapo mkuu

Let's say vijana hawa wanaosajili laini unamshauri kuwa na msumeno,msumari,toroli vya nini? Namshukuru aliyeconclude kwa kusema huu uzi sio wa wote ni wa wafuga kuku na maseremala kama wewe tu. Ndio ile mnawafanya watu wawe na full equiped work shop ndani unajikuta unawafurahisha majirani maana wana fundi karibu wa kurekebisha samani zao
 
Nina kila kitu hapo juu .katika vitu sipendi ni fundi kuja kufanya kikaz kidogo tu anataka elfu ishirin.sasa hata kudrill bomba za pazia inakutoka laki kiulaini kabisa.unashindwa vipi kudril mwenyewe.
 
Hapa nyumbani kwa shangazi napoishi hua kazi zote za namna hizo hua nafanya mimi, wao wananishangaa nawezaje kufanya hizo kazi na mimi nawashangaa wanashindwaje kufanya hizo kazi ndogo ndogo.
Sasa si unaona we una fundi seremala kabisa. Hongera bwana
 
Wadau wamechangia na box la roughrider liwepo, so hadi hilo unabisha?
 
Uzi safi sana na sisi wenye familia usisahau kuweka bank ya videbe vya mahindi na fulu wakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…