Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

utamu wa mwanamke ni wewe mwenyewe....hawa kwanza weshapevuka na kukomaa,,,, hawana stress.....
 
Gari.
Ni changamoto.
Kama huna we baki kusoma thread na comments,kuzireply na kuzi-like tu.
Hata usijisumbue bro.
Speaking from experience.
 

Are u speaking from experience????
 
aaah, hapo ndio huwa hatuelewani...ukiwa na mimi faragha huna sababu ya kuingiza maex wangu!

Sasa unataka nitolewe ngeu mie,akuuu nisije kimbiwa na Ngabu wangu bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…