Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

It's all the same, hata nikibandika tangazo haimaanishi tutaanza kukutana na kudinyana siku hiyo hiyo..

Hata mkidinyana baada ya miaka miwili kudinyana ni kudinyana tu. Ukibandika tangazo ina maana tangu mwanzo wa kufahamiana kitu kinachokuwepo ni mapenzi tofauti na ile ya kuanza na urafiki....mapenzi yanakua taratibu. Na hii ya mtu kuibuka na kusema 'natafuta' binafsi siikubali sana maana waweza kuopoa garasa ukaacha anaekufaa maana hapo kila mtu ni full kupretend....mapenzi mazuri ni yale yanayokua taratibu....mtu unamjua kidogo ABC zake kabla hujatamka mapenzi...
 
Mna take online very serious...mtu akiwa online ni mtu mwingine na akiwa mtaani ni mwingine.. ndo maana ya anonymous....mkikutana mnaanza stages za kufahamiana...usisahau watu wanajilinda na psychos pia.. so uongo na false infos ni kawaida...why nikwambie everything about me while sikujui enough?

We jamaa utakuwa umewapiga sana.
 
yani hapa dada lara kamalizaa...mtu unae mjua utasikia mara katembea na huyu,mara kapigwa mtungo,mara anangoma...ila hambae humjui kabisa habari zake huna na akuna anae mjua.so unacheck akiwa anavigezo unaweka kambi...kama just night stend poa..na kama hujarizika hata kumuona ndo hapo hapo unampotezea so haina kujuana tamuuu

huo ndo ukwel kutembea na de.mu unaye mfahamu kigo.ngwa na fulani ni kinyaa sana
 
Nimepata mke humuhumu Jamiiforums, tumefunga ndoa na watoto wawili
 
Mitandaoni wenye bahati zao wanapata wake na waume, hata humu kuna watu wenye bahati zao wameoa na kuolewa. Kama ilivyo uraiani mtandaoni pia si kila mtafutaji mke/mume anafanikiwa. Bahati mbaya sana waliofanikiwa kupata wake/waume hapa wote hawapendi kufunguka lakini haya ni maamuzi yao lazima yaheshimiwe, labda siku za usoni baadhi wanaweza kuamua kufunguka.

ni kweli kabisa, mimi nina rafiki yangu, anakaribia 37, alisubiri sana mtaani mpaka amekata tamaa, mwisho akaamua kuwa member wa mitandaoni yani yeye kila mtandoa yumo asa long as anajua kuna uwezekano wa kupata mwanaume jamani wanaume anaokutana nao ni balaa hapo ndo nika prove kwamba hakuna waume humu
 
mi mwenyewe huwa hainiingii akilini,labda couples za mitandaoni zitutolee ushuhuda
 
Hebu na wewe weka katangazo kako ufanye praktiko ya kwa nini huwa wanasaka wachumba huku....
 
Me nashindwa kuelewa kwani hapa jamii forum kunatofauti gani na mtaani....apa ni kijiji kinaitwa jamiiforum kitongoji MMU. Me sioni shida mabarubaru msichoke kutafuta wenzi wenu humuuuuu.
 
Not necessarly HE COMES FROM DIFF BACK GROUND REMEMBER! Hawezi kuwa sawa kimtazamo na sie! TO FREE YOURSELF FROM VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU NEED A PASS TO THE OTHER SIDE WHERE THE GRASS IS ALWAYS GREENER REGARDLESS OF THE SEASON!

Dahh well argumentative arguments asee
 
yani hapa dada lara kamalizaa...mtu unae mjua utasikia mara katembea na huyu,mara kapigwa mtungo,mara anangoma...ila hambae humjui kabisa habari zake huna na akuna anae mjua.so unacheck akiwa anavigezo unaweka kambi...kama just night stend poa..na kama hujarizika hata kumuona ndo hapo hapo unampotezea so haina kujuana tamuuu

Santaaaa😃😃😃😃😃😃😃😃 umetishaaa😃😃😃😃😃
 
kila mmoja ametoa mchango wake vizuri, ila kuna mambo mengi ambayo mtu anakutana nayo mwisho anaamua kwenda sehemu nyingine. ukiso jf kuanzia mwanzo unakuta kunaripo za watu wamewasiliana na kwa sasa wanaishi mume mke na watoto. mmoja anasema mtaani wapo wakali sawa kabisa kuna tofaut kubwa sana kati ya mke na mwanamke na mume na mwanaume. dunia imebadilika na watu wanabadilika pia mwisho hiyo mada nzuri go and make da research the results will help you to draw conclusion.
 
Back
Top Bottom