Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,625
Nimekumiss wewe ,adimu kama jasho la paka😛😛,uko poa lakini?Nafikiri Huu udongo utatufaa Kweli sisi kina team misitu a.k.a natural. Nitakutafuta zay
C.c Khantwe, mahondaw, Mafikizolo em piteni na Huku Jamani
Hahahahahaha una mineno wewe, miss u more,, niko poa KabisaNimekumiss wewe ,adimu kama jasho la paka😛😛,uko poa lakini?
Bidhaa inapatikana kwa bei ipi na ipi?
bibi nawe unapenda maisha ya ujanani au kuna kaseregeti boy unakamiliki
Leo nimepokea ujumbe ufatao kutoka kwa mmoja wa wateja wetu wa Zainab's Natural Super Clay kwa sababu za maadili sitoweza mtaja ni nani lakini ujumbe wake alionitumia ni muhimu sana na umenipa faraja kubwa sana:
"Habari ya asubuhi
Nilitaka kukujulisha kwamba nimefurahishwa sana na ule udongo
Uso wangu una matatizo mengi sana. Lakini Nimeona tofauti kubwa na nimetumia mara moja tu.
Kule kufubaa kumepungua na potes imekuwa ndogo pia"
Huo ujumbe nimeuandika kama ulivyo sijaongeza langu.
Namuombea mafanikio mema.
Asante
Zainab
jamani da faiza ubarikiwe kwa kuleta feedback nzuri. Soon na Mimi ntaanza kuutumia na nitaleta mrejesho pia. Da zai kazi nzuri, wateja wasingekupa hizo Sifa zote Kama ungekuwa unatuuzia bidhaa isiyo na ubora wala kukidhi mahitaji yetu. Kizuri chajiuza chenyeweMa sha Allah Bi Zainab, nilikwambia umeweza, huyo mteja wako anahakikisha hilo. Mimi nnakwambia, nimeutumia huu udongo wako na nilikuwa nnatumia udongo natural nnaoununuwa nje kwa bei ya juu sana ukilinganisha na huu wako lakini toka last week nimeanza kuutumia huu wako nnadiriki kusema huu wako ni 100% mzuri zaidi na bei yako mama ni kama bure kama alivyosema Heaven Sent.
Nakushauri anza kufikiria kuusafirisha nje ya Tanzania, unajuwa USA kuna soko kubwa sana la hivi vitu natural na huu kwa kuwa ni mali ya Tanzania 100% kuna mpango wa AGOA unaweza ukapata soko kubwa sana. Jipange dada jipange.
Bidhaa unayo tena safi sana sasa changamkia fursa.
Hongera sana.
Ma sha Allah Bi Zainab, nilikwambia umeweza, huyo mteja wako anahakikisha hilo. Mimi nnakwambia, nimeutumia huu udongo wako na nilikuwa nnatumia udongo natural nnaoununuwa nje kwa bei ya juu sana ukilinganisha na huu wako lakini toka last week nimeanza kuutumia huu wako nnadiriki kusema huu wako ni 100% mzuri zaidi na bei yako mama ni kama bure kama alivyosema Heaven Sent.
Nakushauri anza kufikiria kuusafirisha nje ya Tanzania, unajuwa USA kuna soko kubwa sana la hivi vitu natural na huu kwa kuwa ni mali ya Tanzania 100% kuna mpango wa AGOA unaweza ukapata soko kubwa sana. Jipange dada jipange.
Bidhaa unayo tena safi sana sasa changamkia fursa.
Hongera sana.
Huo udongo hauchubui ngozi kwa kubadilisha rangi ya uso...
Nipo Kg, nawezaje kuwa agent?
Dada Faiza hayo mambo ya export itabidi mnisaidie, mimi binafsi kwa sasa siyajui, Mungu akijaalia ntatafuta mtalam Nawaombeni na ushauri wenu.
Nashukuru sana kuelewa kuwa nawe umeupenda huu udongo.
Asante sana tena sana, nategemea hutanitupa kwenye hiyo ya kusafirsha nje, sijui nianzie wapi au vipi.
Asante
Zainab
mi nipo mkoani naupata vip?
shemej ushatumia hii kitu? hebu lete feedbackBidhaa inapatikana kwa bei ipi na ipi?