Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

hebu tuzijue kwanza aina za upendo
1. Eros: Erotic, Passionate Love
2. Philia: Love of Friends and Equals
3. Storge: Love of Parents for Children
4. Agape: Love of Mankind.
..Kama ulimaanisha Passionate love hutapata jibu sahihi (ni subjective).
..Kuna ambapo ukishatoa mzigo biashara imeisha hasa kama umesumbua sana kwenye mchakato.
..Kuna asiyemtambua kimahaba ambaye hawajasex maana ni kama mpita njia, fellow countrywoman!
..Kuna mwanaume ni malaya tu kama anakusanya idadi tu ya aliongonoka nao,(ilimradi upatikane kwa list), iwe kabla au baada ni hakuna tofauti!(hasa wanaojifanya gentlemen).
.. Kuna akina mimi tukikata utepe ndo unasajiriwa moyon na thamani yako inapanda exponentially! Unaanza kunimiliki na kuonewa huruma ya kimalkia!
...mapenzi ni kama kamari
...LOVE RESPONSIBLY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…