Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Tendo ni mtihani mmoja wapo wa upendo.
- Naona wengi wanadhani wanapenda baada ya kuvurugana.

Kupenda kunapaswa kutangulia! Kupenda kunaleta kujitawala dhidi ya umpendae kweli.

Kupenda kweli hakuna sababu kwakuwa sio maamuzi anuai!

Ukitamani kisha ukapenda, ni kujidanganya.

Ukipenda kwa msingi wa malengo fulani, hiyo ni biashara kama nyingine tu.

Waulize wana ndoa wao wengi na wadai jibu la kweli ya mioyo yao;
- Wanafanya tendo wakati mwili unapohitaji au wanafanya kutimiza majukumu?

Kwamba, nisipofanya kwa wiki nzima, nitagongewa, au atatafuta mwanamke mwengine nje etc!

Upendo katika mahusiano ni zaidi ya mazoezi ya ndoa! Na usiniambie watu wanaoana kwaajili ya kutiana tu isipokuwa kutiana inachukua 50% ya ndoa.
 
Binafsi nikisha mwaga goli la kwanza, kuna sauti kichwani inaniambia "Mfukuze, mfukuze"

Ukiona nimeenda zaidi ya moja, basi ujue hiyo pisi Kila kiungo Cha mwili wangu umeielewa. 😎

Huyo ni pasua kichwa🤣 nishamfumania na mashangazi watatu mpaka sasa ukisikia Headache basi ujue ndo huyo
ephen_ Kwa moyo mkunjufu nimeamua nikuachie huyu ntu pambana naye 🤣🤣🤣
 
After....yaliyomo yamooo???au upendwe tu kwa kipi sasa.
after yaliyomo yamo au hayamo, then decision ya kuendelea ama kusitisha ukaribu na uhisiano hujibainisha kwa maneno na matendo 🐒

matatizo mengi hususani kwenye ndoa nyingi za kisasa sasabu moja wapo ni hii ya kukurupuka, bila kijiridhisha kua ni tamaa au upendo....

kwamba "mpaka tufunge ndoa ndio tufanye"

wakati huo maskini kijana wa watu alichochewa tu na uzuri wa sura, fedha, mali, utanashati na figure ya mwenzie, akawa hana haja kujua hata kidogo au kuona uzito wa udhaifu wa mwenzie kama anao ustahimilivu na uwezo wa kuubeba, kuhifadhi na kuishi nao 🐒

ni vizuri kukagua na kijiridhisha na strengths na weaknesses za ndani kabisa za tunaodhani wanaweza kua wenza wa familia zetu, kabla ya kukurupuka na kuamua kujitumbukiza mahali ambapo hamtadumu 🐒
 
Back
Top Bottom