Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Unapenda mtu ili iweje sasa? Mgandane kama ruba? Technically hakunaga upendo bali baada ya kuona una umbo, sura na unakidhi vigezo vyangu, nia ni kukuvua chupi, nione yaliyomo. Baada ya hapo kila mtu apite kwake tusijuane.

Then unaendelea na mawindo.
 
Haya fungukeni wapendwa
actually,
ni kwa jinsia zote tu, kwamba baada ya vichocheo na tamaa za kimwili kwisha na akili na mwili kutulia na kukaa sawa, ndipo sasa upendo hujidhihirisha bayana, kwamba niendelee nae kwa uzuri au mapungufu ya ndani ulokutana nayo ama hutaweza kuyastahimili :whatBlink:

kwamba mlivyozugushana kwa mda mrefu kwa matamanio na kudanganyana kua mnapendana , na sasa mmekutana, je, huko ndani umekutana na faida, hasara au usumbufu na miyeyusho tu...

yaliyomo yapo kwa pande zote-upendo huamua kuendelea au kuishia hapo:pedroP:
 
Usimsikilize huyo 😅
Kwanini nisimsikilize wakati maneno umesema mwenyewe plus mashangazi niliyokufuma nayo hapo bado sijamjumlisha yule dada anayekuita neighbour
Na yule mwingine fundi cherehani mwenye mtoto😂

Nimesikitika sanaaa dunia nzima wanawake unataka uwapige miti peke yako😎
 
Ila wanawake mpo wengi kuliko sisi, hao wengine unataka wapigwe miti na nani? 😅
 
Back
Top Bottom