Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

Tulikubaliana ONE NIGHT STAND na Bidada mmoja hivi..

The rest is history...
 
UPENDO na NGONO ni mambo mawili ambayo hayana mfanano wala uhusiano.

Mwananmke au mwanaume ambaye huwa kila ukimuona wapata goosebumps huyo ndo soulmate sasa MTU kuwa soulmate haitokani na ngono bali nafsi kuendana.


Sex hutengeneza Bond na sex ikofanyika bila UPENDO ndipo chuki huzaliwa.
 
Kwa maoni yako unaona ni sawa?

Mwisho wa siku ni nani inakula kwake?
Hivi kwa kuangalia tu hali halisi kwenye kizazi cha sasa, ni kina nani wanaoumizwa na wanaoteseka zaidi na mapenzi, unaweza ukalijua hilo hata kwa kuangalia tu ni kina nani wanaoongoza kwa kulalamika na kulialia kwenye mahusiano au ndoa
 
Back
Top Bottom