kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Naamupendo unaanza baada ya tendo, kabla ya tendo huwa ni tamaa tu zimetujaa.
Mzee wa kupambaniaNdoa mpaka mimba iingie kwanza, sitaki kelele oh sijui azai na vitu vingine, una chukua chuma tayari ina kitu tumboni
KabisaUpendo huja baada ya mazoea.
Binafsi nikisha mwaga goli la kwanza, kuna sauti kichwani inaniambia "Mfukuze, mfukuze"
Ukiona nimeenda zaidi ya moja, basi ujue hiyo pisi Kila kiungo Cha mwili wangu umeielewa. π
ephen_ Kwa moyo mkunjufu nimeamua nikuachie huyu ntu pambana naye π€£π€£π€£Huyo ni pasua kichwaπ€£ nishamfumania na mashangazi watatu mpaka sasa ukisikia Headache basi ujue ndo huyo
Akuuu mie nishapata mwingine bff wangu kashanitafutia huyu mnawezana sanaHuyo kisukari baki nae weweπ
Kwa maoni yako unaona ni sawa?
Shemeji hafai ππππAiseeee nimelia sana hii comment π€£π€£π€£π€£
after yaliyomo yamo au hayamo, then decision ya kuendelea ama kusitisha ukaribu na uhisiano hujibainisha kwa maneno na matendo πAfter....yaliyomo yamooo???au upendwe tu kwa kipi sasa.
Upo kama mm ndo mana ata kuoa nawaza itakuaje sabu nikishapiga tu naanza kuwanza anaondoka sangap huyu niwe huruBinafsi nikisha mwaga goli la kwanza, kuna sauti kichwani inaniambia "Mfukuze, mfukuze"
Ukiona nimeenda zaidi ya moja, basi ujue hiyo pisi Kila kiungo Cha mwili wangu umeielewa. π
Watu wanadhani ni utani eti πUpo kama mm ndo mana ata kuoa nawaza itakuaje sabu nikishapiga tu naanza kuwanza anaondoka sangap huyu niwe huru
Umalaya huo!!πWatu wanadhani ni utani eti π
Ukishasoma Tupe mwongozo love π€ π€ !
Nitakuambia PM sweetheart...Ukishasoma Tupe mwongozo love π€ π€ !