cocomelon1
Member
- Dec 18, 2024
- 76
- 142
Sikubahatika kumaliza Jumong ,je Inaweza zidi uzuri wa hizo drama mbili?Jumong nimeanza kuirudia tena na nasema hakuna best Korean drama zaidi ya Jumong yaani ile ni shule tosha visa vimepangiliwa na matukio yamepangiliwa kwa ustadi mkubwa na wahusika wa mule wameigiza kwa hisia sana mpaka unapata mitihani kumchagua best actor .
Nimeirudia zaidi ya mara Tatu lakini kila mara naiona kama mpya kwangu , Kuna vitu nagundua ambavyo mwanzo nilipita tu kawaida . Nikiifanyia uchambuzi naweza kutunga hata Kitabu cha volume 5
Huyu mwamba respect sana Mzee wa wenge na matambo Moja kati ya watu walioupiga mwingi mule anajua sana kuigiza View attachment 3447824
Cc : Mufti kuku The Infinity
Mkuu Jumong ni mashine nyingine, inanoga zaidi pale anapoenda kuanzisha Damul Army.Sikubahatika kumaliza Jumong ,je Inaweza zidi uzuri wa hizo drama mbili?
JEWEL IN THE PALACE
SIX FLYING DRAGON
hivi kuna mtu hapa Tz hajawahi kuiona jumong kweliMkuu Jumong ni mashine nyingine, inanoga zaidi pale anapoenda kuanzisha Damul Army.
Kuna huyo juu hapo ambaye anasema hajaitazama yotehivi kuna mtu hapa Tz hajawahi kuiona jumong kweli
Nasikia favorite shishiya hayumo, mfView attachment 3456294
Alice In Bordeland: S03(September 25)
Wakati wa kuwaona tena Arisu na Uragi umewadia, tuombe uzima.
We mpaka waku chape ndio uta acha hayo ma drama yako , πFamily drama
For eagle brothers ep 53
My country ya jang HyukNingepata series iliokaa km jumong, yani mishale na mazingira flan ya kizaman...ningeshukuru sana
Ilisemakana hatokuwepo sababu ya matatizo ya akili ila atakuwepo.Nasikia favorite shishiya hayumo, mf
Anna naye ili semekana hayupo, ila kapiga Picha yuko site.Ilisemakana hatokuwepo sababu ya matatizo ya akili ila atakuwepo.
Jamaa anapigo kama za thanos kwa mbali πAnna naye ili semekana hayupo, ila kapiga Picha yuko site.
Hiyo drama bila shishiya ni boring, mikono mfukoni kibitozi π π
Mkumbatie mkuu baridi hili πPaka wangu amesha ona ka mi ndo mume wake, eti kalala kitandani na kasinzia kabisa!
Shukran mkuuMy country ya jang Hyuk
Thanos hafai hata usi mtaje jina, asije tokea hapa na quote zake za ajabu.Jamaa anapigo kama za thanos kwa mbali π
nilisha jaribu kumpiga busu, ndio kwanza katulia π πMkumbatie mkuu baridi hili π
pale tony alipotumia nguvu zake zote kulipiga alafu likasema "all that for a drop of a blood"πThanos hafai hata usi mtaje jina, asije tokea hapa na quote zake za ajabu.
ali mwambia tony stark, "you're not the only one blessed with the curse of knowledge πππ¦