Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwanangu unakabia juu mnoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aina noma sisi pipoπŸ˜€πŸ˜€


Mechi yangu na wewe group kule we kimbia usilete timu uwanjani🀣
Najua unataka kuona namtumiaje Yamal na kwanini nimempa counter target πŸ˜‚

Sijaweza kumtumia vizuri bado asikuumize kichwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo Joanah imekuwaje tena naona unamtag mwingine hapo? πŸ˜‚
J nimeanza kumuogopa si mtu wa kawaida jana kwenye Uzi mmoja Kawa nyota wa mchezo kanipigia mtu spana ya hatari , mchizi alijifanya yuko mambele J akamuumbua utapeli wake kwa kuweza link nyuzi zake zenye taarifa zinazokinzana jamaa akawa anapopolewa tu na Wadau baada ya hapo.

Kuna mtu humu alisema hajui VPN kumbe yupo ndani ya nyumba ila tags za humu kazipuuza , ngoja tusubiri comeback yake akija πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…