huu uzi nauonaga ebu niweke kambi nijue radha yake
Now or never ๐๐๐Too late! SMH! ๐ฅ
Mkuu samahani kabla ya kukupa ABC nataka nijue wewe ni KE au Me ili ABC inoge vizuribasi nipe ABC๐
Aah mkuu๐๐kaenda COET hatolud leo๐๐๐Why do i smell wivu?
Wewe kama vipi unaweza kujoin na mwenzio Coca ๐๐
๐๐๐๐AiseeeMkuu samahani kabla ya kukupa ABC wewe ni KE au Me ili ABC inoge vizuri
Mbona kama kuna Thank you inataka itolewe mkuu๐
Wakati wewe ndio Anko wake? Waarabu wa Pemba nyie.
Niweke hapo kwa Anko wako niwe Anti yako tule mema ya Nchi ๐คฃ
Jokes aside, mbona sioni option yetu pendwa download? Nataka niichukue sitaki kustream.
Mimi Jumong nataka nitoke kwenye utawa wa Buyeo under King Daeso ndio maana sasa nataka kuunganisha makabila madogo madogo niunde empire mpya .๐๐๐๐Aiseee
Mimi sio muanzisha mashambulizi ni mzuri wa kudandia mada nikitokea winga ya pembeni kama Mpanzu.Kwahiyo mnaniamulia wanangu๐๐๐๐
hata bado sijaanza kuwafaham ushanipa mapumzikoNianze tena kwa kada yangu
...... ๐๐๐
Eniwei njoo tuchek derby mkuu tuwapumzishe wakorea kidogo
adriz mimi KE kubwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ lakini ubaguzi sio mzuriMkuu samahani kabla ya kukupa ABC nataka nijue wewe ni KE au Me ili ABC inoge vizuri
Sio codeebu nifafanulie hii code Joanah
ahaa sawa nimeelewa ๐ค,, nikajua kuna ka kitu nyuma ya pazia๐Sio code
Ni Razorblade anahusika na utambulisho wa uzi na wachangiaji wake ๐
๐๐๐๐ aloooh nimecheka kama chizi daaahMbona kama kuna Thank you inataka itolewe mkuu๐
De nada๐คI appreciate the good wish sinyorita ๐๐.
Ujasusi utakuua kaka๐๐Mimi Jumong nataka nitoke kwenye utawa wa Buyeo under King Daeso ndio maana sasa nataka kuunganisha makabila madogo madogo niunde empire mpya .
Sasa kabla ya kuungamisha kabila lolote lazima nijue background na potentiality yake ili nijue atafaa wapi na kuplay role ipi kwenye taifa jipya kwa maendeleo ya GoJoseon.
๐๐๐Huyo nishmtolea adi laan lakin wap๐คฃMimi sio muanzisha mashambulizi ni mzuri wa kudandia mada nikitokea winga ya pembeni kama Mpanzu.
Mimi nashindilia misumari vijana wanapoanzisha kugongea tu . Mlaumu mwaao Mr Kiwembe
Ngoja tutoke huko mkuu Nije sasa tuongee wakoreahata bado sijaanza kuwafaham ushanipa mapumziko
enweiii mi sio mpenzi wa mpira sielewi chochote kuhusu football
Samahan kama unavyojua kiswahili kinanipa shida mkuuadriz mimi KE kubwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ lakini ubaguzi sio mzuri