Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Mbona kama niliwahi kuijaribu ilinigomeaSiku hizi mi na stream zaidi mkuu, maana site nyingi ziko corrupted.
jaribu hii kiss kh, au kiss asian π₯ π₯, iwafikie Nifah, Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, adriz The Consigliere, Numbisa, Joanah
View attachment 3473572
View attachment 3473575
Ona mkuuSiku hizi mi na stream zaidi mkuu, maana site nyingi ziko corrupted.
jaribu hii kiss kh, au kiss asian π₯ π₯, iwafikie Nifah, Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, adriz The Consigliere, Numbisa, Joanah
View attachment 3473572
View attachment 3473575
Sema mwanangu unapigilia Moja kwa moja hakuna hata codeπ€£π€£π€£π€£Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?
Tumekuwa pamoja tukishirikiana bega kwa bega katika utengenezaji wa taifa jipya na comrade Joanah, inawezekanaje baada ya kutawazwa kuwa mfalme mpya unatafuta malkia mpya?
Kwanini asiwe hata concubine?
Khalas π
πππrazor anajijua mwenyewe π€£π€£Usi nipangie, maana nime epusha mzozo mkubwa ndani ya ufalme.
Bro una ufala mwingi ππ
Mkuu hapo kamzozo Sasa, maana kwangu ndio nime shusha hiyo series hapo.Mbona kama niliwahi kuijaribu ilinigomea
Halafu sisi familia ajue πππππrazor anajijua mwenyewe π€£π€£
Wewe Ume enda server gani hiyo?, mi hata haionyeshi hayo madude.
Basi tulieniπHii kitu haihitaji maelezo ukiwekewa mezani inabidi ujiongeze tu π
Binafsi ni NAM..Mara baada ya kuwa mfalme umeanza kuchukua maamuzi bila ushauri kutoka baraza la mawaziri.
Razor atamfunga Negan lin adriz The Consigliere Numbisa mnakubaliana vipi na maamuzi haya bila kuitishwa baraza?
Khalas π
Mbona hiyo inaitwa kissasian.cam sawa sawa na hizo link nichague ipiWewe Ume enda server gani hiyo?, mi hata haionyeshi hayo madude.
Hiyo wame copy site yenyewe, andika download series ar kiss asian.com.
Ina nembo ya kiss Asian.
Polepole anatumia code lakini watu wanaelewa πSema mwanangu unapigilia Moja kwa moja hakuna hata codeπ€£π€£π€£π€£
Nitairudia baadae nipo hispania muda huu πMe narusha jiwe gizani litakae mpata sawaa tuuπππ
Me kama team Iris
View attachment 3473593
Cc Razorblade adriz The Consigliere Intelligent businessman Numbisa Joanah
Na watoto wanataka kuwazoeaπNitairudia baadae nipo hispania muda huu π
Madrid wanafanya upuuzi wenyewe leo unaweza sema wanaocheza ni akina Kibu πNa watoto wanataka kuwazoeaπ
Kamenyooka, umefanya niikumbuke hii series aisee.Me narusha jiwe gizani litakae mpata sawaa tuuπππ
Me kama team Iris
Link
View: https://youtu.be/Hwq4QuEGtMk?si=8JE8ADLmCl-2uF1dCc Razorblade adriz The Consigliere Intelligent businessman Numbisa Joanah
Me narusha jiwe gizani litakae mpata sawaa tuuπππ
Me kama team Iris
Link
View: https://youtu.be/Hwq4QuEGtMk?si=8JE8ADLmCl-2uF1dCc Razorblade adriz The Consigliere Intelligent businessman Numbisa Joanah
Khalas ni nini shem lake Coca πKhalas.