Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
No reform, No Queen 😂Bakuli liko njiani😂😂
Kukaa madarakani anahisi tayari amemaliza kila kitu, atake asitake malkia lazima awe anatokea kwenye familiya yenhye ushawishi na nguvu 😂Asichukulie poa nguvu ya Baraza la Mawaziri na wanamtandao .
Maana tunaweza kumfanya hata BICHWA KOMWE - kuwa Malkia
Tupe wasifu wako ambao unahisi utatushawishi 😂😝😝😝😝msimalize maneno. kuna siku mtanikubali🤣
Hii sasa ni zaidi ya ushenzi, kunguni wee 😂😂Asichukulie poa nguvu ya Baraza la Mawaziri na wanamtandao .
Maana tunaweza kumfanya hata BICHWA KOMWE - kuwa Malkia
But she's already the queen😅😅No reform, No Queen 😂
She will suffer the consequences 😂But she's already the queen😅😅
Nipokeeni kwanza😝😝Tupe wasifu wako ambao unahisi utatushawishi 😂
I won't suffer consequences😝😝😝 I am here to give those consequences a taste of their own medicine👸👸She will suffer the consequences 😂
I wonder where you get the guts to threaten my queen Baby DollShe will suffer the consequences 😂
so touching, now I can be assured not only my Kingdom is safe, but also my decision was purely incredible.I won't suffer consequences😝😝😝 I am here to give those consequences a taste of their own medicine👸👸
Yes Your Majesty, Tell them to acknowledge it😝😝so touching, now I can be assured not only my Kingdom is safe, but also my decision was purely incredible.
Tunawezaje mpokea mtu bila kuweka wasifu wake tena kwenye cheo kikubwa ambacho kilikuwa mali ya mtu mwingine?Nipokeeni kwanza😝😝
오랫동안 존경받아온 지위에 자신을 내세우고 있는 것 같네요. 지역 주민들과 잘 지내고 항상 경계를 늦추지 마세요.I won't suffer consequences😝😝😝 I am here to give those consequences a taste of their own medicine👸👸
No matter what, she still needs our approval, you may be king but you cannot decide as you please.I wonder where you get the guts to threaten my queen Baby Doll
, I repeat don't ever dare to even think about doing it again🔥🔥
No matter how reluctant they act, the marriage has already passed.Yes Your Majesty, Tell them to acknowledge it😝😝
She was a princess, not a queen so just bear up the fact that I didn't marry your sister.Tunawezaje mpokea mtu bila kuweka wasifu wake tena kwenye cheo kikubwa ambacho kilikuwa mali ya mtu mwingine?
Khalas.
Anataka skanka😃Kasemaje mgeni wetu?
Chuma kikali sana hicho😃baada ya Jumong niliangalia hicho kishushe mkuu upoteze muda😃😃Navyoonaga uvivu sasa kusikiliza hizi videos(sikumbuki kama huwa nasikiliza attached videos hapa JF)
Nihadithie manake Iris yenyewe nimeigoogle ni ya 2009 huko sijui hata kdrama ni nini wakati huo
Sema kaka una madini sana kichwani mpe kijana yeye anawaza ubabe tuu🤣🤣🤣Siku zote wafalme hawachagui Queen wenyewe huwa mashauri lazima yazingatiwe na yanawekwa mbele maslahi ya Taifa kwanza kabla ya moyo.
Ndio maana King Geumwa alimfanya Queen Mama Daeso kutoka ukoo wa Maga japo hakuwa chaguo lake ni kwa sababu , Maga clan is powerful na kuimarisha utawala , Bang Won vilevile alitafita powerful and influencial clan kuoa ili kuupa nguvu utawala.