Your Majesty Intelligent businessman for the safety of the kingdom, you must listen to the opinions of the officials, failure to do so could lead to chaos.
You can choose to live with Baby Doll as your queen but we can also live with Joanah as our queen.
We will be ready to carry out our duties properly without hesitation if you listen to our opinions.
Khalas.
Justice for comrade πKumeanza kuchangamka sasaπππ
Ukitoa Game of thrones hii ni Moja wapo ya series ambayo naangalia kila mwaka π
Ni vile napenda story za kijasusi nadhani maswala ya jeshiπ
Story ni ya mwamba kim Hyeon jun ambaye alikuwa Komando na mwenzake walikuwa sasa kuna organization ni kama usalama wa taifa lakin yenyewe ni separate kdg haikuwa chini ya usalama wa taifa ila inafanya kazi za usalama hao miamba wawili wakaingizwa humo baada ya kufanyiwa scouting na mdada choi seung Hee yalivyo majing wakati binti alivyokuwa kwenye scouting wao wakiwa hawajui yakampenda binti mmoja na yakawa yanatambiana kwamba nitakupelekea kwa shem wako soon mwisho wa siku mwamba akabeba mchumba. hapa ni mwanzo
picha linaanza mwamba alivyoingia kwenye hiyo Organization (NSS) alipewa mission ya kumuua kiongozi wa North korea Hungary then wakati yupo kwenye harakati za kutoroka sasa baada ya kumuua nchi yake ikamtelekeza plus wakamtuma jamaa yake wa karibu aende kumuua jamaa ndo akaanza mpambano zidi ya taifa lake na NSS ndo kisa kilivyoππ
You're the rightfull queen, Queen of the people.Huko juu nimesahau nani walikuwa wanaongelea wake/wapenzi zake Jumong
Soseono na yule mwingine nimemsahau jina
Nilikuwa nacheka kama boya
Sasa na wewe ulichoandika hapo wallah nacheka π€£
You're the rightfull queen, Queen of the people.
Khalas π
Nafatilia Tempest(ongoing) imenyooka sema ni thriller action sasa wewe huiwezi πStory inaonekana nzuri SHIDO mie ni lover sio fighter
Stories za vita sijui usalama hizo unaangalia unatumia akili kuconnect dots mie siziwezi π
Hizo action vita siziwezi mie naangalia movie nifurahi,sasa watu wanapigana ili iweje π€£π€£Nafatilia Tempest(ongoing) imenyooka sema ni thriller action sasa wewe huiwezi π
Ndiyomaana sipendi kufungua JF nikiwa mbele za watu, nimechekea kifala πIla we boya sana wallah π€£π€£
Uvulana wako ungebaki haya yote tusingeyashuhudia
Una moyo laini sana πHizo action vita siziwezi mie naangalia movie nifurahi,sasa watu wanapigana ili iweje π€£π€£
Na drama zenye harufu ya sad endings nazo sizianzi nikijua
Thanks my loyal subject (Me as a queen π€£)Ndiyomaana sipendi kufungua JF nikiwa mbele za watu, nimechekea kifala π
At your service My Queen.
Khalas.
Una moyo laini sana π
Halafu Ijumaa imewadia π
Ok, nakutumia akaunti gani.Nimechoka kila kitu hiyo App ndio utopolo kabisa.
Kwa hisani ya undugu wetu naomba uishushe unitumie Telegram please ππΌ
Ileile ninayopost nayo kwenye ChannelOk, nakutumia akaunti gani.
Telegram
Link imekuwa expired, halafu nilitoka kwenye groupIleile ninayopost nayo kwenye Channel
Link imekuwa expired, halafu nilitoka kwenye group
Nipokeeni hivo hivoππππTunawezaje mpokea mtu bila kuweka wasifu wake tena kwenye cheo kikubwa ambacho kilikuwa mali ya mtu mwingine?
Khalas.
μ’μμμ€λ«λμ μ‘΄κ²½λ°μμ¨ μ§μμ μμ μ λ΄μΈμ°κ³ μλ κ² κ°λ€μ. μ§μ μ£Όλ―Όλ€κ³Ό μ μ§λ΄κ³ νμ κ²½κ³λ₯Ό λ¦μΆμ§ λ§μΈμ.
Khalas.
We got this, Your majesty π€
Kha πππ€Thanks my loyal subject (Me as a queen π€£)
Kha πππ€