Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Sema wangekuwa wanatoa hata vipande vitatu kila wiki, kusubiri mpaka december si mchezo.Nasubiri mzigo uishie, hata joy of life s2 ya kichina nili subiri episode ziishe maana chuma ilikuwa ya maana Sana
Long time no see wadau I'm here again
Shabiki mwenzangu wa Transit Love uko wapi sikuoni☺️
Hakika labda hajui kuwa Exchange ipo season 4 now na kuna Noona is A Woman To MeWelcome back. Nimeshaanza kuzisahau realities,talnam nae kaadimika sana. Sababu umerudi hope nae atarudi pia
Mkuu hii comment yako nili iacha kwa makusudi, nili taka kujipa muda ili nifanye rating ya vyuma vya Mwaka huu.Sijui huko mbeleni, lakini mpaka hapa nilipoishia. Nadhani tangu VAGABOND sijaona drama ya mjini( Triller) kali kama hii( TEMPEST). Nimependa inaelezea Geopolitics
Hizo kazi zingine nimeziweka pending kwanza niende na TEMPEST
Tempest ni average Sana😂😂, bora niruke na 9 puzzles.Malizana nayo jana wamemalizia ep 8 na 9, hii series imenyooka sana 🔥
Nimeimaliza last week, yupo Nam Gil wangu naachaje kuiangalia?Trigger Korean, ime ingia kwenye list yangu ya top 5 dramas za Mwaka huu.
Selikavu, dosho12, Numbisa, D A E M U S H I N, Nifah, Razorblade, adriz, Gwanggaeto the Great
View attachment 3502491
Haya ruka na manipulated chap, kabla sija kuletea lile bakuli la chuma😁Nimeimaliza last week, yupo Nam Gil wangu naachaje kuiangalia?
Recently nimeangalia drama nyingi… Bon Appetit Your Majesty, Mercy for None, Trigger, Karma, The diary of a night watchman, Captivating the King n.k na movies kadhaa Emmergency Declaration, The Closet, Okay Madame, Potrait of a beauty n.k
Sasa hivi nairudia Through the Darkness.
Naombeni site za kudownload kdrama na movies
Hii nimeangalia episodes 1 na 2 nahisi nikaifuta, ngoja nimalizane na nilizonazo kwanza kisha nifikirie kuirudia.Trigger Korean, ime ingia kwenye list yangu ya top 5 dramas za Mwaka huu.
Selikavu, dosho12, Numbisa, D A E M U S H I N, Nifah, Razorblade, adriz, Gwanggaeto the Great
View attachment 3502491
Mercy for none na manipulated ni mwisho, hii trigger nitaipitia tena upya.Mkuu hii comment yako nili iacha kwa makusudi, nili taka kujipa muda ili nifanye rating ya vyuma vya Mwaka huu.
Na hiyo tempest ni average au mid drama tu, haina story au plotting kali kivile.
Drama kali mpaka Sasa 2025 ni mercy for none, manipulated na trigger.
Note: nime zirudia drama zote tatu × 3 kila Moja.
Nimeipenda jinsi imeonyesha namna ambavyo siasa ilivyo.Tempest ni average Sana😂😂, bora niruke na 9 puzzles.
Hii undercover high school nimekuwa nikiipita, huenda kwa sababu list zimekuwa nyingi sana.Vyuma vikalo vya 2025 kimjini mjini.
.Mercy for none.
. Manipulated
. Trigger
. Nine puzzles
. Under cover high school
. Good boy
. Tempest
Numbisa, Nifah, D A E M U S H I N, gwangaeto, Razorblade, Selikavu, adriz, dosho12, Edo kissy
View attachment 3502505
Kaka Mercy for none ni mashine nyingine 😂Episode ya 4 pale gim jun ana pigana na ile crew ya jun mo kule safe house, ile ni series nzima ya tempest 😁.
au Nifah, Razorblade na Numbisa mli onaje?