Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yuang xi huyo, ana style yake Ina itwa 10 breath ni πŸ”₯ πŸ”₯.

Kuna kina jin best swordman in yuangzhou, mo bai, oyaa hii kazi ni shida.
Hii ni noma imenilaza Jana saa Saba usiku. Wakati naendelea na hii naomba pendekezo la chumba kingine kitakachofatia maana Huwa unanipatia taste zangu mkuu. "Pamoja na kuwa wewe ni mpenzi wa arsenal ila kwenye hizo shoo tupo pamoja."😁😁😁
 
Hahaha, niko naicheki hapa kwenye pc yangu Sasa hivi hiki chuma ni heavy weight.

kwenye next pending watchlist, kuna legend of zhang hai au legend of fei.

# arsenal πŸ”₯ πŸ”₯πŸ˜…
 
Hahaha, niko naicheki hapa kwenye pc yangu Sasa hivi hiki chuma ni heavy weight.

kwenye next pending watchlist, kuna legend of zhang hai au legend of fei.

# arsenal πŸ”₯ πŸ”₯πŸ˜…
Shukrani kwa watchlist, Ila juzi hapo Stanford bridge ponapona yenu ilikuwa Caicedo kupewa kadi.🀣🀣
 
Shukrani kwa watchlist, Ila juzi hapo Stanford bridge ponapona yenu ilikuwa Caicedo kupewa kadi.🀣🀣
Hizo zote Kali, episode 40+ uki kosa pa kushushia sema niku tumie telegram download link.

Top at the epl table, top at the ucl table, can you relate πŸ˜πŸ˜‚
 
Watching ingenious one πŸ”₯ πŸ”₯
Yule dogo ni genius kweli kawachanganya matajiri wa kamari mpaka vichwa vinawauma. Master mwenyewe naye amekuka za kichwa hajui kesho yake itakuwaje kwa boss wake huku waliomkalibisha nao kumbe ndio chanzo cha mauwaji ya Kijiji Chao.

Kweli ni tamu sana ngoja niendelee kula mtori.🍷
 
Hii chuma ni funga kazi, tuki imaliza turuke na legend of zhang hai.

nenda faster Sasa, uko episode ya ngapi 🀣
 
Kaka nilisha kwambia tempest kwenye hizi rank ni comedy πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…