Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kwa style hii lazima usingizi ukate, yaani hadi Atalanta ana wakanda woiiππ.Sawa Jana nimetumia sana yaani usingizi ulikata. Ila Asenyeto tumewazoea kuongoza ligi mwishoni mnaaribu.
Hahaa nakusilikilizia leo wewe, ile Jana ni aibu nimepata mimi.Kwa style hii lazima usingizi ukate, yaani hadi Atalanta ana wakanda woiiππ.
Haya Usha malizana na ingenious one?, maana vyuma ni vingi na mda mchache hapa duniani.
Naona zhang hai ina taka kufanana same plot kama ingenious, sema zhang hai main character ana pigana.Hahaa nakusilikilizia leo wewe, ile Jana ni aibu nimepata mimi.
Leo naanzana na Legend of zang hai
Tumalizane na Zhang ndio twende kwa Fei.Naona zhang hai ina taka kufanana same plot kama ingenious, sema zhang hai main character ana pigana.
sio turuke na fei mzee?, hahaha chelkenge angalieni leo arsenal niki ua mtu π₯π₯
Nili anza na legend of zhang hai ep 1, iko vyema.Tumalizane na Zhang ndio twende kwa Fei.
Asenyeto mwaka wenu huu mshindwe wenyewe tu
Ipo ila nikutumie telegram, shida itakuwa na gb 20Wakuu mwenye link ya Dae Jo young maana nkiri haipo
Komaa nayo tu mama, nyinyi ndio huwa mna angalia drama yenye ep 300 πOur Golden days family drama moja tamu. Sema ongoing
Hahaha tayari hizo, kaka kina Selikavu, Razorblade au adriz hawa kukosea kuni ita the mighty.Leo na Mimi nakupa Moja ya The legend of Condor heroes. Humo Kuna Mongolian Savages
Minister ana ogopa kufa, eti believe me weeπYule jamaa bonge la tapeli alafu haogopi kumdanganya muuaji ka ma yule
Komaa nayo tu mama, nyinyi ndio huwa mna angalia drama yenye ep 300 π
Ukiona series yeyote Kuna mpaka Wamongolia ujue hiyo weka mbali na watotoLeo na Mimi nakupa Moja ya The legend of Condor heroes. Humo Kuna Mongolian Savages
Niko na legend of zhang hai episode 40 tu, sema hawa wachina kama korea tu.As long ni kikorea hata episode 500 huwa naangalia tu. Hii inaishia episode 50
Niko na legend of zhang hai episode 40 tu, sema hawa wachina kama korea tu.
Tuishi humo πHuu ni uzi wa kikorea mkuu. Naomba ubaki hivyo maana siku hizi mtu akitaja kikorea unamtajia kichina. Wachina siwaelewi mazingaombwe mengi,uongo mwingi.