Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hauwajui kumbe, muulize GITWA katika vyuma 3 tulivyo angalia kuna mazingaombwe gani?Huu ni uzi wa kikorea mkuu. Naomba ubaki hivyo maana siku hizi mtu akitaja kikorea unamtajia kichina. Wachina siwaelewi mazingaombwe mengi,uongo mwingi.
Mwanzisha uzi alileta hiviHauwajui kumbe, muulize GITWA katika vyuma 3 tulivyo angalia kuna mazingaombwe gani?
Kuna kitu ina itwa genre hope una kijua!
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Mimi nawaelewa, na nili kujibu kutokana na ulisema una angalia kipi.(Nika toa hint ninacho angalia).WACHINA SIWAELEWI NA HAWAELEWEKI. TUBAKI NA DHIMA YA UZI HUU KIKOREA GENRE MBALIMBALI
Mwanzisha uzi alileta hivi
Mimi nawaelewa, na nili kujibu kutokana na ulisema una angalia kipi.(Nika toa hint ninacho angalia).
Kuhusu wachina - Korea, sitoacha kuwataja.
My sister wapi nilipo kukosoa, naomba uni onyeshe tafadhali.Sijakukataza uache kuwataja bali uache kuleta malumbano yasiyo na faida kukosoa wanachoangalia wenzio kisa wachina.
Kisha ukaja na recommendation zakoKomaa nayo tu mama, "nyinyi" ndio huwa mna angalia drama yenye ep 300 😁
Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.Niko na legend of zhang hai episode 40 tu, sema hawa wachina kama korea tu.
My sister wapi nilipo kukosoa, naomba uni onyeshe tafadhali.
Oops madam nyinyi ndio ime ku trigger 🤔, aisee hiyo si ina maanisha wingi au?.Hapa it may be a joke to you as usually. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine
Kisha ukaja na recommendation zako
Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.
Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
But K-dramas sell better internationally than other Asian' dramas.Hapa it may be a joke to you as usual. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine
Kisha ukaja na recommendation zako
Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.
Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
selling better, i disagree, stick to Korea maybe but still no.But K-dramas sell better internationally than other Asian' dramas.
Nina uhakika atastick kwa K-dramas
Hakuna mahali utaenda bibie, hapa ni kwetu sote.Hapa it may be a joke to you as usually. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine
Kisha ukaja na recommendation zako
Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.
Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
Zoba gani huyo anaongelea wachina wakati huu uzi unahusu Korean dramaAnaetaka wachina aanzishe uzi wake
Ni kweli huu ni Uzi wa Korean lakini sioni shida kama mtu kaweka kitu kilicho mvutia kutoka china. Mimi kama mpenzi wa movies and series naamini kuwa Kuna wengine nao huo wakati mwingine wanaangalia kutoka mataifa mengine. Hivyo kama familia ya kikorea tusitupiane mawe kisa tu mtu kaweka mchinaAnaetaka wachina aanzishe uzi wake
Wala hujakosea na huna haja ya kuomba radhi, una ogopa mawe acha yarushwe tuone.Ni kweli huu ni Uzi wa Korean lakini sioni shida kama mtu kaweka kitu kilicho mvutia kutoka china. Mimi kama mpenzi wa movies and series naamini kuwa Kuna wengine nao huo wakati mwingine wanaangalia kutoka mataifa mengine. Hivyo kama familia ya kikorea tusitupiane mawe kisa tu mtu kaweka mchina
Niko tayari kukosolewa kama nimekosea.
Upon sahihi hatawezi kukimbia eti kwa sababu ya tofauti ya mitazamo. " Mbona wewe ni Asenyeto na Mimi ni Chelsea lakini tuko peace"🤣🤣🤣Wala hujakosea na huna haja ya kuomba radhi, una ogopa mawe acha yarushwe tuone.
Beside wachina wata wekwa, as long as ni asia.
Nilikuwa safari sijaendelea sana nimerudi leo kesho naendelea
Hahaha strategic kama yuntai, halafu we chelkenge ngoja nimpige palace ili tukutane nusu fainali😁Upon sahihi hatuwezi kukimbia eti kwa sababu ya tofauti ya mitazamo. " Mbona wewe ni Asenyeto na Mimi ni Chelsea lakini tuko peace"🤣🤣🤣